Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.
Misri imewaachia huru wafungwa saba wakiwemo mwandishi wa habari Hisham Fouad pamoja na mtafiti wa masuala ya binadamu (anthropology) Ahmed Samir ambao walikuwa wakishtakiwa na makosa yanayohusiana na ugaidi.
Hatua hiyo imefanyika siku moja baada ya Serikali ya Rais Abdel Fattah el-Sissi kutoa...
Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake
Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia.
Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 17, 2022 imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly Match) dhidi ya Ismailia SC ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini Misri ambapo mchezo huo umekwisha kwa sare ya kufungana bao moja kwa moja, bao la Simba SC...
Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia.
Naipenda sana Simba SC...
Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao.
Gamal alionekana mara ya mwisho siku 20 zilizopita katika sehemu yenye maduka makubwa akiwa na mumewe.
Mwili...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Abdel Moneim Aboul Fotouh (70) kifungo cha miaka 15 gerezani kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusambaza taarifa za uongo na kupanga njama za kupindua Serikali
Fotouh alikamatwa mwaka 2018 baada ya kuikosoa vikali Serikali ya Rais Abdel Fattah El-Sissi. Pamoja naye...
Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme.
Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha.
-
Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio sana barani afrika
The money bags of Egypt yaani matajiri wasio wa mchongo toka Misri , pyramids fc...
Mamlaka za Serikali Nchini Misri imewaachia huru waandishi wa habari watatu ikiwa ni mwendelezo wa Rais wa Nchi hiyo, Abdel Fattah el-Sisi kumalizana na wakosoaji wake.
Waandishi hao ni Ammer Abdel-Moneim, Hany Greisha na Essam Abdeen waliruhusiwa kutoka jela jana Mei Mosi, 2022 baada ya kuwa...
Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam Monis kulikuja baada ya kuachiliwa kwa wafungwa kadhaa wa hadhi ya juu, siku chache kabla ya mwisho wa...
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000.
Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal.
Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa iliyofanikiwa dhidi ya Senegal kikisema timu yake ya taifa ilifanyiwa ubaguzi wa rangi na vitisho ilipokuwa...
Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza!
Baada ya kuamka nilikimbilia kwenye simu yangu kuitafuta mechi live, baada ya kuserch kidogo...
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika.
Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
#TeamSenegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga #TeamMisri kwa penati 4-2 katika mchezo wa fainali ulichezwa kwenye Uwanja wa Olembe jijini Yaounde, Cameroon.
Timu hizo zilimaliza dakika 120 za mchezo huo kwa suluhu ya 0-0, hivyo kwa matokeo hayo...
Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti ziliandaliwaje?
Taarifa 5 Bora zilizoandikwa na Joyce Tildesley, mtafiti kuhusu Misri.
Usipande...
8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi.
10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.