Jesus Moloko awindwa na Pyramids ya misri

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio sana barani afrika

The money bags of Egypt yaani matajiri wasio wa mchongo toka Misri , pyramids fc wameripotiwa kumtaka Yesu Moloko kwa Us dollar milioni 1.2 hiyo ni baada ya kufanya scouting yao kwenye ligi yetu na kujiridhisha kwamba kijana soka analijua

Mtu wao aliyekuwa anawapa hints mbalimbali za wanasoka wa bongo alijaribu kuwashawishi wamuangalie Pape sakho wa simba au Peter banda walikataa katakata wakasema hata kwa dollar 5000 hawawezi nunua mchezaji kutoka team ambayo inategemea uchawi na kupulizia sumu ili kuzifunga teams nyingine kwenye michuano ya Caf walisema kwamba yanga sc ndiyo team pekee inayotandaza soka la kitabuni na wachezaji wake hawana hulka za uchawi

Kama ukiwaona wanamwagia maji kwenye nyavu za wapinzani au kuzikaguakagua ni maombi ya kuondoa uchawi unaokuwa umewekwa na simba fc

*kila la heri Yesu moloko katika maisha yako mapya ya soka huko Misri, bilioni 2.5 ni rekodi kubwa hata ya konde boy imevunjwa , Tanzania ita miss sana kiwango chako
 
Naskia na Dickson Ambundo anawindwa na Buyern Munchen the Bavarians
 
Timing yangu ya yanga haijawah kuwa serious kwa Jambo lolote like

Mwaka unaenda wa tano huu kikombe Cha ligi kuu n mtihani kwetu

Kaz yetu kukuza majina ya wachezaj na s timu
 
Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio sana barani afrika....
Hahahahahaaa hii habari inachekesha sana kuliko hata ile penalt ya Mayele.
 
Nasikia Gsm wapo mbioni kumshushs Eduardo Camavinga...source Oscaroscar wa times fm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom