FIFA yaamuru Mechi kati ya Senegal na Egypt irudiwe

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,282
Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal.

Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa iliyofanikiwa dhidi ya Senegal kikisema timu yake ya taifa ilifanyiwa ubaguzi wa rangi na vitisho ilipokuwa ikijiandaa kucheza mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia siku ya Jumanne.

Katika taarifa yake siku ya Jumanne, EFA ilisema timu yake "ilifanyiwa ubaguzi wa rangi baada ya mabango ya kukera kuonekana uwanjani yakielekezwa kwa wachezaji, haswa Mohamed Salah, nahodha wa timu." Iliongeza kuwa mashabiki waliwatia hofu wachezaji kwa kuwarushia chupa na mawe wakati wa vipindi vya maandalizi ya mchezo. "Mabasi ya timu ya Misri yalishambuliwa, ambayo yalisababisha madirisha yao kuvunjwa na majeraha kwa baadhi ya watu," taarifa hiyo pia ilisema.

Chama hicho pia kilikuwa kimewasilisha malalamiko hayo kwa Shirikisho la Soka Afrika. Misri ilishindwa kufuzu kwa Kombe la Dunia 2022 baada ya kushindwa na Senegal Jumanne usiku.

Mafarao walipoteza nafasi yao katika Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar ambapo Simba wa Teranga (Senegal) waliibuka kidedea kwa mikwaju ya penalti.

==

World football governing body Fifa has ordered a World Cup playoff rematch between Egypt and Senegal.

This comes after Egyptian Football Association (EFA) lodged a successful appeal against Senegal saying its national team was subjected to racism and intimidation as it was preparing to play in the World Cup playoff on Tuesday.

It added that fans terrorised the players by throwing bottles and stones at them during the game’s warm-up sessions.
“The Egyptian team’s buses were attacked, which resulted in their windows being broken and in injuries to some individuals,” the statement also read.

The association had also submitted the complaint to the Confederation of African Football.

Egypt failed to qualify for the 2022 World Cup after losing to Senegal on Tuesday night.

On Tuesday night, the Pharaohs lost their place in the 2022 World Cup in Qatar to the Senegalese Lions of Teranga after a penalty shootout Tuesday (3-1) and a more than effervescent atmosphere in the stands.

In a statement on Tuesday, the EFA said its team “was subjected to racism after offensive banners appeared in the stadium stands directed at the players, specifically Mohamed Salah, the team captain.”

Source: The Citizen
 
April Fools' Day or April Fool's Day is an annual custom on 1 April consisting of practical jokes and hoaxes. Jokesters often expose their actions by shouting "April Fools!" at the recipient. Mass media can be involved in these pranks, which may be revealed as such the following day. April 1 is not a public holiday in any country except Cyprus which is a national holiday (though not for April Fools' Day but instead for a holiday called "Cyprus National Day"), Odessa, Ukraine and the first of April is an official city holiday.[1] The custom of setting aside a day for playing harmless pranks upon one's neighbour has been relatively common in the world historically
 
Mkuu wajinga si uliwaach kijijini kwenu?
Sas yanini unawatafta huku jf
 
Back
Top Bottom