Bwana asifiwe!
Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali?
Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.
Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters...
Habari wa juu
Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini
Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam
Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.
https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El
Wanaukumbi.
Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema.
Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
Bibafsi hamna jambo ambalo linanikera sana kama nchi kuona eti tunapewa mikataba ya kujenga
Naamini ujenzi wa vyoo sehemu yeyote ndani ya nchi iwe ni mashuleni au mahali popote pale sio jambo lililotushinda kama nchi
NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAPIGA MARUFUKU MIKATABA YA KIDHALALISHAJI KAMA...
Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuteka nyara misaada ya chakula ambayo ilipaswa kuwafikia wananchi wa Palestina badala yake misaada hiyo magaidi hao wanaipeleka kwenye Mahandaki!!!
Sijui ni kuathiriwa na malezi au tabia tu.
Mimi najua kuomba au kutarajia msaada huwa ni hatua ya mwisho sana.
Kuna baadhi ya watu hudhani msaada ni haki yao. Na matokeo yake ni yafuatayo.
Kuwa wazembe. Kutafuta wa kumtweka matatizo na majukumu yao.
Chuki hasa kwa pale walipoomba msaada na...
Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini.
Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo.
Swali langu kwa wanamoshi ni hili:
Je...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Sima A iliyopo katika Hamlashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu wamepatiwa misaada mbalimbali kwa matumizi ya shule
Misaada hiyo imetolewa na waendesha baiskeli kutoka Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Butiama mkoa wa Mara kwa lengo ni...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewataka viongozi na wafanyabiashara waongeze uwekezaji katika ulinzi, wakati ambapo Urusi inaimarisha mashambuliziZelensky amesisitiza kwamba huo ndio msimamo unaohitajika sasa. Zelensky amesema haitakuwa sahihi kwa nchi washirika kuwa na uhaba wa fedha. Rais...
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA
Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa
Waheshimiwa viongozi wa dini,
Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa watu. Nawasimamia...
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu.
Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya...
Umoja wa Mataifa umetangaza kupunguza kwa kiwango kikubwa shughuli zake za kibinadamu duniani, na kulaumu kile ilichokitaja kuwa "upungufu mkubwa zaidi wa ufadhili kuwahi kutokea" kwa hatua yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa matarajio ya misaada.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Ofisi ya...
Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.
https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267
JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.