Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.
Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa...
Malori 100 ya misaada ya kibinadamu yakiwa yamebeba fomula ya watoto, unga, na vifaa vya matibabu yaliingia Gaza jana kupitia Kivuko cha Kerem Shalom.
Misaada kama hii ndiyo inawapa kiburi magaidi hao kuendelea na vita,kuwashikilia mateka na kuendelea kushikilia maiti zilizotekwa nyara toka...
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni.
Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha.
Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo...
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia...
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K
https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk
Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa
Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu.
CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka kuwaeleza ukweli wafuasi wa mbogamboga.
The Progressive Alliance (PA) ni jumuiya ya kimataifa ya...
Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya.
Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti maeneo ya Ashrafieh Sahnaya ukihusishwa na kiongozi wa jamii ya Druze kumtukana mtume Muhammad saw.Jambo...
Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nitoe wito kwa umoja wa...
SMZ INAVYONUFAIKA NA MIKOPO, MISAADA NA DHAMANA KUPITIA SJMT
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Zanzibar inanufaika na fedha zitolewazo na Wadau wa maendeleo kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT).
Mhe. Khamis...
Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni.
Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk
"Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi...
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.
Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland.
Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na...
Katika maonyesho ya wazi ya udhaifu wa ndani, CHADEMA imejidhihirisha katika mchezo wa kukamata misaada ya kigeni, jambo linalofichua kutokuwepo kwa mipango madhubuti ya kujipanga mbele ya uchaguzi mkuu wa 2025. Viongozi wa chama, wakiongozwa na Mwenyekiti Tundu Lissu, wamekuwa wakizungumzia kwa...
Wakuu,
Serikali ya ujerumani leo imeitaarifu Rwanda hatua yake ya kusitisha misaada mbalimbali katika nyaja za elimu, tekinolojia na afya.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuthibitika kwamba Rwanda imepeleka wanajeshi wake nchini DRC ili awasaidie magaidi wa M23 kuvuruga amani nchini DRC.
Aidha...
Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo.
Hii ni nchi...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME
Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja
Africa tunajiweza sana
Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina
Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.