misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Usitoe misaada hovyo hovyo

    Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania mshawishini Trump arejeshe misaada

    Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala mingi sana ikiwemo kwenye jukwaa letu hili pendwa. Watu mbali mbali wamekuwa wakionekana kufurahia...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

    Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Nchi za Afrika zinazopokea misaada mikubwa zaidi kutoka Marekani

    Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani: 1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa tuulizane; Rais bado anasafiri duniani kutafuta misaada?

    Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama kawaida ikawa kama ngoma, wapo waliozidisha. JK yeye aliishi hewani kuliko hata rubani. JPM akafunga...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wanufaika 5 wakubwa wa misaada ya USAID barani Afrika.

    Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20. Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

    Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa. ROUTE zilizokuwa maarufu kwa wafanyakazi wa NGOs za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  12. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wizara ya Afya-Sitisho la misaada ya Marekani lazua Taharuki

    Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
  16. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  20. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
Back
Top Bottom