mirathi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    Baada ya kujitenga na mirathi ndugu zangu wamenitenga

    Habari wakuu, Huwa napenda kutoa baadhi ya matukio ya maisha yangu ili kupata ushauri na pia kama rejea au funzo kwa watu wengine katika jamii au jf Kuna kipindi nilikuja humu kuomba ushauri wa namna ya kuifanya familia yangu kuwa familia kubwa yenye kuigwa, nashukuru nilipata ushauri na...
  2. Pdidy

    Kwenu Mawakili wasomi msaada na ushauri wenu wa Mirathi kwa vijana hawa yatima

    Niliwahi kuleta kesi hizi hapa awali, ndipo akatokea jamaa mmoja nikaweza kuwapa namba zake na kuwaunganisha na mwanasheria wa humu. Jamaa huyo aliwasaidia sana hadi wakafanikiwa kushinda kesi zao. Hivi sasa mhusika huyo yuko nje ya nchi na atakuwa huko kwa muda mfupi. Watoto wa familia hiyo...
  3. Think2

    Hivi ukifa sasa hivi kikao cha mirathi kujadili mali zako kitachukua muda gani?

    eti muda gani??
  4. JanguKamaJangu

    Watoto wa marehemu Mzee Augustino Ilomo wamuomba RC Iringa kuingilia mgogoro wa mirathi

    Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kuingilia kati mgogoro wa mirathi unaotishia kupoteza mali zote zilizoachwa na baba yao. Sarah anadai kuwa, licha ya juhudi...
  5. Pdidy

    Jaji Mkuu, mahakama za Moshi Arusha zinatesa sana wananchi kwenye kesi za mirathi

    Mh. Jaji Mkuu, Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania. Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki. Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
  6. Kazanazo

    Hivi kwanini familia za kiafrika watu wanakuwa wabinafsi sana hasa likija suala la mirathi

    Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
  7. U

    Enyi wakiristo mnazo sheria za ndoa, talaka na mirathi kwenye dini na Biblia yenu kama ilivyo kwenye dini ya haki ya Uislamu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tutazidi kupeana ilimu Ili tukae sawa Hakuna shaka kwenye Uislamu mambo husika yametajwa kwenye sheria na Kanuni zake na yapo wazi kabisa chanzo kikiwa ni kurani Ndugu zetu wakiristo hebu tuwekeeni sheria zenu na mtaje wapi mnazinuu Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  8. C

    Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

    Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari Soma Pia: Le Mutuz TV inaendeshwa na nani?
  9. Pdidy

    Kesi za ardhi na MIRATHI wanamalizana sana aisee

    Jana nilikuwa nazika dogo MMOJA pale Arusha sekei Kijana amekuwa na bosi wake miaka kama kumi Wakafanikiwa KWENDA kununua kiwanja bagamoyo hk 4 BOsi wake hakufanjkiwa kukiendeleza Wakaakaa kama miaka 5 wakaenda kukifatilia wakakuta nusu kimeuxwa na kuna watu wameshajenga sio mtu MMOJA...
  10. zamani1116

    Ufafanuzi juu ya haki ya mjukuu kurithi mali ya babu/bibi yake

    Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18). Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
  11. Rula ya Mafisadi

    PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  12. enzo1988

    Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

    Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani?? Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri! Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
  13. Waufukweni

    Mama awashinda watoto wake Kesi ya Mirathi ya Nyumba Kariakoo

    Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake. Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani...
  14. M

    Utaratibu wa kufatilia Mirathi uko vipi wakuu.

    Kila kitu kimekwisha wakuu.
  15. Mr Why

    Jerry Silaha aongeza kasi ya kukomesha kesi za mirathi, ardhi na nyumba

    Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii Mh raisi Samia tunakupongeza sana kwa kumpa Waziri wa ardhi cheo hiki hakika anakitendea kazi Mh raisi bado tunahitaji...
  16. A

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
  17. M

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake. Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
  18. Curtis De Mi Amor

    Ni nani mwenye haki ya mirathi katika familia?

    Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi. Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote alizokuwa nazo huyo mama kawarithisha wanawe, yaani mume mtu kaambulia pangu pakavu. Kumetokea mvutano wa...
  19. MKATA KIU

    Wazazi wazembe wanatoa Elimu kama Urithi, Sheria ya Mirathi inakataa Elimu sio Urithi, Biblia inataka baba kuacha Urithi

    tunaanza na mistari ya biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana” NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA. Elimu ya Mzungu...
  20. F

    Ugomvi mkubwa wa Mirathi. Familia ya Mandela yaanza kuuza mali za marehemu. Kweli Africa tunafanana Tabia

    Habari wadau. Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu. Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela. Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
Back
Top Bottom