miradi ya maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna Kilichosimama Miradi ya Maendeleo - Mbunge Cherehani

    HAKUNA KILICHOSIMAMA MIRADI YA MAENDELEO |USHETU INASIMAMA NA RAIS SAMIA - MBUNGE CHEREHANI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani ampa tano Rais Samia Miradi ya Maendeleo

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Akagua Miradi ya Maendeleo Karatu

    Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Karatu, Mhe. Daniel Awack akiambatana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Swai wakiwa katika Ukaguzi wa mradi wa scheme ya umwagiliaji bonde na Eyasi uliotengewa fedha kiasi cha Tsh bil 38. Mbunge Zaytun Swai ametoa Shukurani kwa Serikali ya awamu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Kamsamba Amepongeza Rais Samia na Mbunge Condester kwa Kupeleka Milioni Mia Tisa za Miradi ya Maendeleo

    DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
  5. JamiiForums Tanzania Bilioni 423 zatekeleza miradi ya maendeleo Singida miaka miwili ya Rais Samia

    Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza aendelea kuchangia Miradi ya Maendeleo Songwe

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza tarehe 04 Julai, 2023 alishiriki Baraza la UWT Wilaya ya Songwe ambapo alichangia Mifuko 50 ya Cement yenye thamani ya Shilingi Milioni Moja kwaajili ya ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Songwe Mhe. Shonza alielezea...
  8. JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi)...
  10. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia nje ya nchi zachochea kuongezeka kwa miradi ya maendeleo nchini

    Akihutubia wakati wa maonesho ya Dubai Expo 2020 mjini Dubai, tarehe 26 Februari 2022, Rais Samia Suluhu Hassan aliwakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini. Matokeo Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanikiwa kusajili jumla ya miradi 575 ambayo ilikadiriwa kuwekeza kiasi cha mtaji...
  11. JamiiForums Tanzania Ziara ya Daniel Sillo Katika Jimbo la Babati Vijijini Kukagua Miradi ya Maendeleo

    ZIARA YA MHE. DANIEL SILLO KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti bungeni Mhe. Daniel Sillo ameendelea na ziara katika Jimbo la Babati Vijijini ambapo ametembelea Vijiji 66 kati ya Vijiji 102 vya babati...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini kwenye fedha inazoleta kwa ajili ya miradi ya maendeleo

    Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri. Miradi mingi haijakamilika na pesa zote zimetafunwa na wajanja na bado wako maofisini mpk sasa. serkli haitumi...
  14. JamiiForums Tanzania Kama takwimu za miradi ya maendeleo inayotekelezwa zingewafikia Watanzania wote, Wanaokosoa jitihada za Serikali hii wangezomewa sana na Watanzania.

    Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania DC Muro na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi

    DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Ikungi kuanzia tarehe 01 hadi 04 Novemba, 2022. Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Ilani ya...
  16. JamiiForums Tanzania Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA ELIMU INAENDELEA KUTEKELEZWA NA AWAMU YA SITA

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shiligi bilioni 752 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET). Shughuri zitakazotekelezwa kupitia mradi huu ni ujenzi wa miundombinu mipya na kukarabati iliyopo...
  18. JamiiForums Tanzania Gharama za miradi ya maendeleo nchini haziendani na uhalisia wa nyakati za sasa

    Wanabodi, Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku zote, serikali hukusudia mema kwa wananchi wake na kwasababu hiyo ni vyema kuipongeza serikali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…