miradi ya maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo. Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kigoma afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo, asema barabara za vumbi zitasahaulika kuelekea Tabora

    Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo. Kauli hiyo imetolewa...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sitashangaa kukuta yale mabasi ya CCM na pikipiki za Samia ni kati ya vitu vilivyotuponza kukosa misaada ya Marekani

    Wakuu, Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa shughuli zao binafsi. Sasa amekalia kiti utekelezaji umeanza, misaada yote imesitishwa kwa miezi 3...
  4. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kwako Waziri Ulega

    Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa kusikia kilio changu. Soma, Pia: Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

    Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi apewa Milioni 600 na kujenga tuta la zege pekee. CCM "washangazwa" na kutaka mkandarasi huyo aondolewe

    Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee. Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS yaagizwa kusimamia Wakandarasi wanaojenga na kukarabati Miradi ya Maendeleo kwa Jamii (CSR) kujenga kwa kiwango

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu wa China yaonyesha uungaji mkono wa China kwa ukuaji wa Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi wiki iliyopita alifanya ziara ya siku saba katika nchi nne za Afrika, ambazo ni Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria. Ziara hiyo inadumisha mwendelezo wa desturi ya mawaziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka nje ya nchi...
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

    Mbunge wa Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood, amejitolea kwa dhati katika kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo lake kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Miongoni mwa mafanikio yake ni pamoja na👇 1. Dkt. Abood alikabidhi gari la kubebea wagonjwa (ambulance) hatua iliyosaidia kuboresha...
  11. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Ziarani Tabora uzinduzi miradi ya Maendeleo

    Hodi hodi Tabora. Mulé mpola?! Wabéja. Haya, tuendelee sasa kuzindua miradi ya maendeleo na kuyatangaza maendeleo ya Tabora. Ikumbukwe, mkoa wa Tabora tayari umeshapokea takribani Trilioni 1.1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya sekta mbalimbali tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya Awamu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yazidi kushinda mfululizo kwenye mbio za mwenge kwa utekelezaji bora wa miradi ya maendeleo

    Wote mnakumbuka kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze iliyopo mkoani Pwani ilishinda na kuongoza Kitaifa katika Halmashauri zilizofanya vizuri katika ubora wa utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru. Mwaka huu 2024...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu kwa Wengi

    27 September 2024 Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu https://m.youtube.com/watch?v=hVpKDfaNKko Profesa ameyasema haya kwenye semina iliyoandaliwa na HakiArdhi na mada kuu ilihusu maumivu makali ya bomoabomoa wanayopitia wamiliki wadogo wa ardhi. HakiArdhi ambao ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Injinia Stella Manyanya Alala Chini kabisa kumshukuru Rais Samia kwa Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa katika miaka hii mitatu yamekuwa ni makubwa sana na kuwa kama ndoto au miujiza kwa wananchi wengi na waheshimiwa wabunge katika Majimbo yao. Hali hii ndio imepelekea na kuchochea sana watu na wananchi mbalimbali bila kujali itikadi...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

    Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wamulika miradi ya maendeleo - Kibondo

    Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini. Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi ya Maendeleo Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kuunufaisha na kuufungua kiuchumi Mkoa wa Kigoma ndani...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha wananchi wanapata...
Back
Top Bottom