Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,511 Reaction score 59,225 Aug 7, 2024 #1 Huyu Sweetbert Nkuba ana haki ya kukata rufaa sio kwa Mbwembwe kqma hizi
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Aug 7, 2024 #2 Hili nalo mkallitazame... Au nasema uongo ndugu zangu?
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,511 Reaction score 59,225 Aug 7, 2024 Thread starter #3 Asprin said: Hili nalo mkallitazame... Au nasema uongo ndugu zangu? Click to expand... Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa
Asprin said: Hili nalo mkallitazame... Au nasema uongo ndugu zangu? Click to expand... Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Aug 7, 2024 #4 Manyanza said: Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa Click to expand... Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni...
Manyanza said: Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa Click to expand... Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni...
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,511 Reaction score 59,225 Aug 7, 2024 Thread starter #5 Asprin said: Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni... Click to expand... Najua hizi mambo ni zako aisee
Asprin said: Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni... Click to expand... Najua hizi mambo ni zako aisee
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Aug 7, 2024 #6 Manyanza said: Najua hizi mambo ni zako aisee Click to expand... Na hivi kesho ni public holiday, hapa natamani masaa yakimbie kwa kasi ya treni ya SGR....
Manyanza said: Najua hizi mambo ni zako aisee Click to expand... Na hivi kesho ni public holiday, hapa natamani masaa yakimbie kwa kasi ya treni ya SGR....
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 5,109 Reaction score 24,927 Aug 7, 2024 #7 Dr Lizzy kacheka. Nami naongezea, hahahaha!. Kuna dogo anaumwa cheka cheka atakuja kuunga muda si mrefu. Kwa hiyo watu walipiga cocktail na bado kura wakapiga kwa Mwabukusi? Mimi ningewaloga.
Dr Lizzy kacheka. Nami naongezea, hahahaha!. Kuna dogo anaumwa cheka cheka atakuja kuunga muda si mrefu. Kwa hiyo watu walipiga cocktail na bado kura wakapiga kwa Mwabukusi? Mimi ningewaloga.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,873 Reaction score 55,728 Aug 7, 2024 #8 Nguvu ya ushawishi