mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mimba imeingia?

    Habari za mida wana jf, Ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari, alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  4. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi/mke wako akishika mimba mwezi huu jiandae mwakani mwezi 8 kuitwa baba

    Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.🤣👇
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  7. Charlez kanumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FUNZO..Nilidhani ex wangu amerudi sababu ya upendo kumbe ana mimba ya jamaa yake amemtelekeza!

    Nisiwachoshe sana, kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, ila yeye hakunipenda alimpenda mshikaji mwingine, lakini kwa sababu nilihofia kumpoteza binti mrembo kama yule niliendelea kubembeleza penzi na kujipa imani kuwa '0ne day atanielewa na atakuwa sababu hata yule mshikaji mwingine alikuwa...
  8. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza watoto wengine wawili kabla ya kuzaliwa wakiwa tumboni. Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeweza kujihatarisha yeye mwenyewe Kwa kutoa mimba muogope kama ukoma!

    Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke. Hapo Sasa ndo ataanza kushituka. Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
  10. Shanily

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usibebe mimba kama haupo tayari kulea

    Mwanamke akishapenda sehemu, Cha kwanza huwaza kuzaa( kumzalia huyo mwanaume) akidhani kwamba akimzalia ndo atamtuliza na mwanaume anazidisha mapenzi kwake kwakua wamezaa. Zaa ukiwa na Utayari ndani ya nafsi Yako wa kumlea huyo mtoto, ukiwa na Utayari hata kama ikitokea mmetengana huwezi...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulikoni siku hizi kuoa mpaka kwanza binti apigwe mimba?

    Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo? Hata hivyo, ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu. Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wife aliniamsha usiku wa manane ni mfuatie embe bichi kisa ana mimba

    Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile. Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu. Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya...
  13. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza mimba, je utaratibu wa mbegu za kiume upoje?

    Salaam: Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache niliona kama chumba kimoja safi, self contained,TV kama inch 48" pamoja na vitu vingine. NB:Sikuona...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?

    Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
  15. navigator msomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

    Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  17. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja. Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke afariki wakati anatoa mimba ya miezi sita

    Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga kinachokadiriwa kuwa na miezi 6 . Tukio hilo limetokea mtaa wa kambi ya chupa halmashauri ya jiji la Arusha...
  19. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

    Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania USITOE MIMBA NARUDIA USITOE MIMBA ILE DAMU INAONGEA HAITOKUACHA

    NAJUA MPO HAPA MLIOTOA MIMBA NAOMBA NIKWAMBIE KAOMBE REHEMA KATUBU KWA MUNGU PALE MIMBA INAPOINGIA UHAI UNAINGIA NA MTOTO ANAKUWA WA MUNGU SI WAKWAKO TENA MWANAUME WEWE UMETUMIKA TU KUTENGENEZA MBEGU KAMA MWANAUME UKISHIRIKI KUMSAIDIA MWANAMKE KUTOA MIMBA KATUBU OMBA REHEMA ILE DAMU INAONGEA...
Back
Top Bottom