mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Abortion / kutoa mimba: Je, ni sahihi au si sahihi?

    LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri kusikiliza hoja zote. WANAOSEMA NI SAHIHI, HUSEMA: 1. Mwili ni wake, maamuzi ni yake Wanadai hakuna mtu...
  2. JamiiForums Tanzania KONDOMU IKAPASUKA

    Nikajua tu tayari nimeshamtia mimba bila kuratajia.
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

    Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati wengine wakitupa watoto ama kutoa mimba.. Kuna wanaoiba watoto ili nao waitwe mama

    Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
  5. JamiiForums Tanzania Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutoa mimba

    Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
  7. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  8. JamiiForums Tanzania Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  9. JamiiForums Tanzania My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

    Part one Najua haya maandishi tunayoandika humu yataishi na kusomwa humu hata baada ya sisi kuondoka Duniani miaka 50 ama 100 ijayo. Hivyo yanalengo la wengine waweze kujifunza. Wewe Mwanaume, kama halijakutokea leo, basi kesho linaweza kukutokea maana kwa utafiti wangu mdogo, huu mchezo...
  10. JamiiForums Tanzania Mimba zinatoka tu msaada pls?!

    Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020 Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika Yani hii ya pili sasa inaharibika N:B ipo hivi...
  11. JamiiForums Tanzania TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

    Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya. Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

    Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Akibeba Mimba Itakuwaje?

    Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

    Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati, Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU Vipi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  16. JamiiForums Tanzania SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  17. JamiiForums Tanzania Alikuwa mwanajeshi mkuu zaidi (mkuu wa jeshi la Houthis) kusema kweli Houth wamechea kichapo sana hawasemi tu lakini cha moto wanakipata

    Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo. Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la Israeli lililowaua mawaziri 12 lakini wao walificha kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Kihouth Alikuwa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Matumizi ya Chai ya rangi, pepsi, coca na Energy drink baada ya kufanya mapenzi inazuia mimba

    Watu wengine wanaamini kwamba ukinywa soda nyeusi (cola), kuchemsha majani ya chai mengi kisha uyanywe au energy drink mara baada ya tendo la ndoa, mbegu za kiume hufa tumboni na hivyo mimba inazuilika. Nilishangaa zaidi kuwa kuna mtaalamu wa afya pia aliwahi kueleze kuhusu hii ishu. Sikumuamini...
  19. JamiiForums Tanzania Unataka kubeba Mimba? Soma hapa

    Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kutafuta njia ya kupata ujauzito bila mafanikio, kuna tiba rahisi, salama na ya asili ambayo inaweza kukusaidia. Hii ni njia ambayo wamama wengi wameitumia na kufanikisha kupata mtoto. Unachohitaji si vitu vingi. Ni viungo vya kawaida vinavyopatikana...
  20. JamiiForums Tanzania Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…