mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  2. E

    Kesi ya kutoa mimba

    Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
  3. Roving Journalist

    Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  4. Roving Journalist

    Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  5. Grahams

    My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

    Part one Najua haya maandishi tunayoandika humu yataishi na kusomwa humu hata baada ya sisi kuondoka Duniani miaka 50 ama 100 ijayo. Hivyo yanalengo la wengine waweze kujifunza. Wewe Mwanaume, kama halijakutokea leo, basi kesho linaweza kukutokea maana kwa utafiti wangu mdogo, huu mchezo...
  6. Mributz

    Mimba zinatoka tu msaada pls?!

    Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020 Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika Yani hii ya pili sasa inaharibika N:B ipo hivi...
  7. Binti wa zamani

    TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

    Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya. Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026...
  8. ITR

    Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

    Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Hivi Rais Akibeba Mimba Itakuwaje?

    Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
  10. I

    Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

    Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati, Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU Vipi...
  11. dogman360

    Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  12. The Tai

    SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  13. Echolima1

    Alikuwa mwanajeshi mkuu zaidi (mkuu wa jeshi la Houthis) kusema kweli Houth wamechea kichapo sana hawasemi tu lakini cha moto wanakipata

    Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo. Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la Israeli lililowaua mawaziri 12 lakini wao walificha kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Kihouth Alikuwa...
  14. W

    POTOSHI Matumizi ya Chai ya rangi, pepsi, coca na Energy drink baada ya kufanya mapenzi inazuia mimba

    Watu wengine wanaamini kwamba ukinywa soda nyeusi (cola), kuchemsha majani ya chai mengi kisha uyanywe au energy drink mara baada ya tendo la ndoa, mbegu za kiume hufa tumboni na hivyo mimba inazuilika. Nilishangaa zaidi kuwa kuna mtaalamu wa afya pia aliwahi kueleze kuhusu hii ishu. Sikumuamini...
  15. VictoriaGreenHerbal

    Unataka kubeba Mimba? Soma hapa

    Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kutafuta njia ya kupata ujauzito bila mafanikio, kuna tiba rahisi, salama na ya asili ambayo inaweza kukusaidia. Hii ni njia ambayo wamama wengi wameitumia na kufanikisha kupata mtoto. Unachohitaji si vitu vingi. Ni viungo vya kawaida vinavyopatikana...
  16. ELI COHEN

    Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  17. S

    Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  18. W

    China yazindua mpango wa kwanza wa “Roboti anateweza kubeba Mimba”

    Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei hii ni ndogo mno ukilinganisha na gharama ya kupata mama mbadala (surrogate) binadamu, ambayo huanzia...
  19. Sifi Leo

    Bado Mimi Nina hoji.Bilioni 100 ni za kampeni kweli? Huu ndo Muda mke jirani alitiwa mimba kavu kavu

    Mimi Bado Nina hoji bilioni 100 ni za Nini aise? Ni kampeni mnapanga kuifanya aise ccm seeni ni PESA za KUWAONGA wake zetu?
  20. Jumanne Mwita

    Ulimtia Mimba Mwanafunzi, Ukafungwa Miaka 30 umetoka jera, Unaambiwa mimba iliharibika! Ungefanyeje?

    Kwa mfano imetokea wewe kijana umefungwa kwa kumtia mimba mwanafunzi. Miaka 30 baadaye, ukarejea na kukutana na ukweli mchungu ambao hukutarajia. 📜 Kwa mfano, wewe ni kijana wa kiume na katika harakati za hapa na pale katika ujana wako, ukajikuta unamtia mimba mwanafunzi wa shule. Kwa kosa...
Back
Top Bottom