milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Subira Mgalu akabidhi Vyerehani 130 vya Shilingi Milioni 32.5 kwa Wanawake wa Pwani

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKABIDHI VYEREHANI 130 VYA MILIONI 32.5 Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea kutekeleza azma yake ya kuwaimarisha kiuchumi Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) katika Wilaya za Mkoa wa Pwani, ambapo amekabidhi vyerehani 20 wilayani Kisarawe na...
  2. JamiiForums Tanzania Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa

    Kwema Wakuu! Leo sina mbambamba, short and clear sitaki kuchosha nguvu kazi ya taifa nisijeitwa mhujumu uchumi. Siku hizi wala usijitese kusomesha Watoto wako. Somesha Kwa ku-relax kulingana na uwezo wako. Sio uingie madeni kisa kusomesha. Huo ni ushamba na matumizi Mabaya ya Pesa na Akili...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Morogoro Achangia Milioni Tatu Wakulima wa Mpunga Kilombero

    MBUNGE MHE. NORAH MZERU ACHANGIA MILIONI 3 VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amechangia Miradi ya Kimaendeleo ya wanawake wa Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilombero Kata za Mang'ula A; Mang'ula B na Kata ya Kibelege Shilingi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  5. H

    JamiiForums Tanzania TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  6. JamiiForums Tanzania Mbakaji Bester na mpenzi wake Dkt. Nandipha walisafirishwa kwa Tsh. Milioni 175

    Serikali ya Afrika Kusini imetumia Tsh. Milioni 175 sawa na (R1.4 milioni) kukodi ndege kutoka Tanzania hadi Afrika Kusini kuwarejesha wafungwa Thabo Bester na Dk Nandipha Magudumana waliokamatwa Arusha Aprili 7, mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi aliiambia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa milioni moja naweza kufanya biashara gani?

    Wakuu habari, Nisaidien kitu Hapa hivi kwa mtaji wa million moja nawezafanya biashara ipi wakuu
  8. JamiiForums Tanzania 'Semi Trucks' za 'TESLA' zaanza kuingia sokoni, moja itauzwa Tsh. Milioni 587 kabla ya VAT na 'Shipping'

    Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.⁠ ⁠ First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.⁠
  9. JamiiForums Tanzania Rose Tweve apeleka Milioni 7 Mkoa wa Iringa na kupinga ukatili

    MHE. ROSE TWEVE APELEKA MILIONI 7 IRINGA, APINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amendelea na ziara yake ya siku tatu Wilaya ya Iringa mjini lengo likiwa ni uimarishaji wa Chama na Jumuiya, kutunisha mifuko ya wanawake, Elimu dhidi ya mikopo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yasema Tanzania ina Diaspora Milioni 1.5

    Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023 SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5 Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za #Tanzania zilizopo nje ya Nchi Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  11. JamiiForums Tanzania Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  12. JamiiForums Tanzania Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  13. JamiiForums Tanzania Agricultural Manager, Tanzania - mshahara kuanzia milioni 7 hadi 10 na other benefits

    Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania. Our client is a...
  14. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    1. Maji ya Mochwari ( hasa yatokee Temeke Hospital au Amana ) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani ( ikiwepo ya Tanzania ) itakuwa ni nzuri zaidi 4. Njiwa Saba ( 7 ) ila wawe ni Weupe na...
  15. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    1. Maji ya Mochwari (hasa yatokee Temeke Hospital au Amana) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani (ikiwepo ya Tanzania) itakuwa ni nzuri zaidi 4. Njiwa Saba (7) ila wawe ni Weupe na...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania CAG: Watumishi Halmashauri ya Ngara warejeshe Milioni 45.99

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ameitaka Ofisi ya Rais TAMISEM kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa kwa watumishi waliohusika na upotevu wa fedha za mapato ya ada za leseni, ikiwa pamoja na kuhakikisha jumla ya Sh. Milioni 45.99 zinarejeshwa kutoka kwa watumishi husika na...
  18. JamiiForums Tanzania Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

    Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul. ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila...
  19. JamiiForums Tanzania Mhe. Aysharose Mattembe Achangia Milioni 20 Kununua Majiko ya Gesi 500 kwa Wanawake wa Mkoa wa Singida.

    MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA KAULI MBIU: "MAZINGIRA YANGU MTAJI WANGU, YATUNZE YAKUTUNZE" Mattembe Golden Women Foundation (MGWF)...
  20. JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

    Habari Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…