milioni 100

If You Won a Hundred Million (Italian: Se vincessi cento milioni) is a 1953 Italian comedy film directed by Carlo Campogalliani and Carlo Moscovini and starring Tino Scotti, Nerio Bernardi and Anna Carena. It is an anthology film split into several different episodes.

View More On Wikipedia.org
  1. Ulitumia mbinu gani kupata milioni 100

    Ndugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.
  2. W

    Mahakama yamuamuru Sean ‘Diddy’ Combs kulipa Dola Milioni 100 kwa mwanaume aliyemshtaki kwa kumnyanyasa kingono

    Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times. Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
  3. G

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  4. Geita: Mkuu wa Wilaya ashangaa Zahanati ya Tsh. Milioni 100 kutokamilika tangu 2019

    Mkuu wa Wilaya ya Geita Hashimu Komba amesikitishwa na kitendo cha ujenzi wa Zahanati iliyopo Kata ya Kasamwa Wilayani humo kutokukamilika toka mwaka mwaka 2019 huku hadi sasa shilingi milioni 100 zikiwa zimeshatumika kwenye ujenzi wake. Akiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kasamwa, DC...
  5. Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

    Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo Sabodo aliyefariki Alfajiri ya kuamka leo atazikwa leo saa 4 usiku kwenye Makaburi ya Kisutu INNALILLAH...
  6. P

    Mpo 100 kwenye chumba, ili ushinde milioni 100 unatakiwa kufanya kitu kimoja unachokiweza sana kuliko wote. Utafanya nini?

    Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo. Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote. Ungefanya kitu gani? Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
  7. Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  8. Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
  9. F

    Mfuko wa familia , wanaochanga 5000 kila mwezi, wafikisha mapato zaidi ya milioni 100. familia zingine zinapaswa kuiga njia hii

    Mfuko wa familia ya marehemu kiswaga ya kyela mbeya wawa mfano au
  10. Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  11. Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  12. Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

    Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri. Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri...
  13. Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Magalalu

    Bungeni, Dodoma: Milioni 100 kukamilisha Ujenzi Zahanati ya Kijiji cha Magalalu Serikali itatumia fedha za makusanyo ya ndani kiasi cha shillingi millioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Masagalu kilichopo katika Halmashauri ya Kilindi. Hayo yamesemwa na Naibu...
  14. Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

    Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma...
  15. Mustakabali wa Twitter uko shakani, mtandao wa Threads wawafikisha watumiaji milioni 100

    Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter. Wakati huohuo, takwimu za mitandao zinaonesha kuwa kasi ya matumizi ya Twitter imeshuka ndani ya siku chache...
  16. Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

    Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice. Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya...
  17. J

    Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  18. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  19. S

    Mchezaji Akataa Milioni 100 za Azam ataka Milioni 250 kumvua gwanda

    Note 📝 NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu za Ligi Kuu. Akijitolea mfano baada ya kufanya vizuri msimu uliopita ambapo alikuwa kinara wa mabao 16 na sasa ana 11...
  20. Albam ya Marioo "The Kid You Know" yapata Streams Milioni 100 Boomplay

    Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni 30. Ni rekodi nyingine ya Wasanii wa Tanzania kuvunjwa kwa Afrika Mashariki baada ya Rayvanny...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…