Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2 zimeibwa hali inayopelekea hasara kwa mamlaka hiyo na usumbufu kwa wateja wake.
Hoja ya wizi wa...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.
Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa...
kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7
wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich.
Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
"Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
Habari wadau wa JF,kama wewe ni unataka kuanza ufugaji wa kuku na unafikiria uanze wapi?....Jibu ni rahisi anza na Fuga App. Itakusaidia kujifunza na kusimamia shamba lako kiurahisi sana
Ukiwa na App hii itakusaidia kujifunza kuhusu Ufugaji wa kuku maana kuna kipengele cha "Jifunze" ambacho...
Wazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅)
Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000.
Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
Anonymous (9713)
Thread
kesho
kulipwa
milioni
mwaka
nssf
nyingine
wanajua
yangu
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka.
Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi.
Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi.
Yote tisa, kumi ni hii...
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es...
09 February 2026
UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza
Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake.
Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
My Take
Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho.
Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
TAKUKURU inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kughushi nyaraka, utapeli na utakatishaji fedha kupitia Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 1371/2026 lililofunguliwa Mahakama ya Kisutu Januari 21, 2026. Washtakiwa wanadaiwa kughushi nyaraka za...
Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam.
Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.