mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na mahakama huru, zingezuia katazo la mikutano ya mikutano ya hadhara kutoka Kwa Waziri Katambi

    Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani? Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba, Nadhani huu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kujaa kwa mikutano ya Chadema tafsiri yake Mama hakubaliki au CCM imechokwa?

    Toa maoni yako
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM tutaendelea kujidanganya kwamba mikutano ya sasa ya CHADEMA haina madhara kwa CCM? Kweli?

    Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya CCM na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au? Dada yake Polepole kafika EU hatujiulizi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msafara wa CHADEMA ukiwa Kasi kuwahi mikutano ya Chama Kanda ya Nyasa

    Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei. Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanaogoma kuichangia pesa Chadema kwenye mikutano yake ya hadhara, wamechoka, hawana pesa au wamegundua wanatapeliwa?

    Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema? Je, achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa? Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mpaka leo hawajui kwanini wanaohudhuria mikutano ya CCM huenda na mabegi mgongoni

    Niwasanue au niwaache tu. Dunia ina siri ila hii ya kwao tushaisanukia😁 yaani wanatoka na begi la nguo za kijani wakifika wanabadilisha mkutano ukiisha wanazivua na kuficha kwa mabegi.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mikutano ya CCM na CHADEMA kwa sasa

    Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee. WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao. WanaCCM...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wiki moja tu ya mikutano ya CCM wamechanganyikiwa na kupata mfadhaiko wa kisiasa.

    Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano. Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi. Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato. Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Matusi Anayotukana Sugu na CHADEMA Majukwaani Yametosha Sasa. Msajili unasubiri Nini Kusitisha Mikutano Ya CHADEMA Nchi Nzima? Angalia Matusi Ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani . Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mange awashauri Chadema kuacha kupiga miziki na vibe kwenye mikutano

    Mwana dada na mwanaharakati Mange Kimambi amewaambia Viongozi wa Chadema kuwa wanapotoka kupiga miziki na kucheza wakati wa mikutano Hii haina tija ukizingatia wananchi wana majeraha ya kupoteza wapendwa wao, majeraha, hujuma katika uchaguzi , ufisadi n. K Kucheza mziki ni kuingia kwenye...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waonywe kwa tabia ya kuwatukana na kuwadhalilisha Askari wetu katika mikutano yao ya hadhara

    Ndugu zangu watanzania, Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao kila mmoja wetu anatambua kazi kubwa wanayoifanya usiku na mchana kuwalinda watanzania na mali zao...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini Tanzania haialikwi kwenye mikutano ya uwekezaji

    Mkutano unafanyika Kenya tumejaza majinga nchi nyingine za Africa zinapiga deal https://youtu.be/lf6WeLrKFLs?si=V5VWdGRa4KjbECbY
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  15. S

    JamiiForums Tanzania Spana wanazopiga CHADEMA kwenye mikutano ya hadhara, ni kali sana na sidhani kama watawala wataweza kuvumilia ukweli wanaoambiwa

    Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda. Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani walalamikia serikali matumizi ya nguvu kupita kiasi kuvuruga mikutano yao

    Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  19. Clack-Sniper

    JamiiForums Tanzania Maandamano Yajayo yasipangiwe Tarehe, yafuate kwenye mikutano yote Public yenye viongozi wakuu

    Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka. Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura. Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
Back
Top Bottom