mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama chadema wameanza kutoa maelekezo wanachama watoke mbali kuhudhuria mikutano yao, kwa kweli CHAUMA kina meno, kimewauma mpaka kwenye mfupa

    Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa. Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bora chaumma ifanye mikutano ya ndani badala ya hadhara

    Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanawajibu wa kuhudhuria mikutano ya vyama kwa ujumla wake!

    Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
  6. endesha

    JamiiForums Tanzania Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

    Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa. Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Upo umuhimu wa kutambua washiriki wa mikutano ya CHADEMA kwa sasa inawezekana wamejaa wanaharakati kutoka Kenya

    Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea. Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
  8. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Naomba mahakama ikatae kusikiliza kesi ya Lissu hadi maelfu ya raia kwenye mikutano ya Chadema waunganishwe

    . Kesi ya Malaika Lissu ni ya uhaini. Kwa urahisi wa maneno ni kwa kuzuia mamlaka kuendesha uchaguzi( hisia). Lissu akiwa bado ndani, mikutano ya Chadema inaendelea nchi nzima. Maelfu kwa malaki wameunga mkono hadharani mambo yaleyale yaliyomtia ndani Lissu na sasa anataka kushtakiwa peke...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chadema yazidi kung'ara kanda ya ziwa, yahitimisha mikutano yake kwa kishindo kikubwa mjini Kahama

    Chadema kwa sasa ndio habari ya nchi.
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Amani Golugwa amesema CHADEMA imesitisha mikutano yote nchini hadi taarifa kamili itakapotolewa

    Wanabodi nimekutana na hii taarifa, Je, ni kweli CHADEMA wamesitisha mikutano yote nchini mpaka watakapotoa taarifa rasmi tena?
  11. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G 55 Inapaswa Waanze Mikutano ya Hadhara kuuelewesha Umma namna ambavyo wanadhani wakishiriki kwenye Uchaguzi watapata Ushindi wa Kishindo

    Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea! Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ALAT yawataka madiwani kufanya mikutano ya hadhara

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo yaliyofanikishwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya mikutano ya hadhara kuanzia vitongojini, vijijini...
  13. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi mwananchi kukamatwa/kulipa faini kwa kutohudhuria mikutano Serikali za mitaa,Kuchangia ujenzi madarasa?

    Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ni maua ya demokrasia yanayochanua katika ardhi ya China

    Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana na kujadili masuala ya mbalimbali ya kitaifa. Kama njia muhimu ya kutekeleza demokrasia ya...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM inaweza kujaza mikutano bila wasanii

    Wakuu, Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂 Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa wanaitukutuza CCM hawatokei. Vijana hawa tunaowana wanajitoa akili saivi hata vumbi lao hutaliona...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU na HECHE ijizuie Mikutano yake kuwa mikutano ya kutangaza Injili

    Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao. Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

    Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

    1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

    TANGAZO LA JOHN MNYIKA Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao: 1. Ahmed Rashid 2. Alfred Kinyondo 3. Prof. Azaveli Lwaitama 4. Wakili Edson Mbogoro 5. Francis Mushi 6. Lumuli...
Back
Top Bottom