mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  2. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushiriki wa mikutano ya vijana mitandaoni.

    Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha.
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuona Dully Sykes akihudhuria mikutano ya CCM

    Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize. Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama chawa wengine wafanyavyo?
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ziara ya Dkt. Emmanuel Nchimbi: Kero ya Mikutano ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro

    CCM inakutana na changamoto kubwa katika kukusanya wanachama kwenye mikutano bila kuzingatia muda wa watu. Kwa mfano, Dr. Emmanuel Nchimbi alipokuwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, wanachama wa CCM walipata tangazo kuwa atawasili Jimbo la Hai saa 2 kamili asubuhi. Hata hivyo, wanachama...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakatazwa kupiga Picha kwenye Mikutano

    Ikiwa mikutano ya kupiga kampeni kuendelea nchini. Chama cha CCM kwenye mojawapo wa mikutano yao wameonekana kuwanyima wanachama waliohudhuria kupiga picha wala kirekodi katika mikutano hiyo. Kwani nini kinaendelea?
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ccm inavotumia watoto wa kimaskin kujaza mikutano yao.

    Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

    Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
  9. HORSE POWER

    JamiiForums Tanzania Imeshafikia hatua ya kuwakusanya watoto kwenye mikutano

    Ama kweli hamkani si shwari kwa Chama Cha Majizi.Wenye kujitambua hawana muda wa kusogea kwenye 'maonyesho' yao. Zoa zoa na kusanya kusanya kwengineko kujaza mikutano sasa inakwenda mbali zaidi.Sasa ni kukusanya na wanafunzi kujaza mikutano bila ya kujali ni Jumapili au likizo.Nimejionea...
  10. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
  12. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  13. R

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA wanatendea sana haki sera yao ya Ubwabwa kwenye Mikutano lazima wananchi wale

    Wakuu, Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye mikutano yao maana tunatika nyumbani bila bajeti ya mchana tunaenda kula ubwabwa wa CHAUMMA
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ernest Mwamaja: Tanzania kuingia katika ramani ya kimataifa ya Utalii wa Mikutano (MICE)

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali. Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, mahakama za Moshi Arusha zinatesa sana wananchi kwenye kesi za mirathi

    Mh. Jaji Mkuu, Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania. Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki. Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
  17. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
  20. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
Back
Top Bottom