Harufu ya zuio la Mikusanyiko ikiwamo Mahakamani linanukia

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,900
Ile tarehe yetu inapozidi kujongea harufu ya zuio la Mikusanyiko nayo inazidi kunukia.

Bila shaka tukataarifiwa huko mahakamani kuwa kama Tokyo 2021. Olympic bila mashabiki angalau kwa wiki hii ili kudhihibiti maambukizi ya Corona.

Shit hole countries kila jambo ni fursa.

Yakisikika hayo miye wala siyo nabii bali ni katika kutambua mfanano uliopo baina wa jezi za adui na ile ya refa Manyoto Ndimbo (rip).

Muhimu wanapopanga hesabu zao tusiache nasi kupanga zetu.

Tukutane mahakamani ambako wakili msomi Peter Kibatala atakuwapo akiwa fully prepared.
 
Siyo lazima sana watu wote waandamanie mahakamani hata mtaani tu inatosha kufikisha ujumbe kwa walengwa.
 
HhSiyo lazima sana watu wote waandamanie mahakamani hata mtaani tu inatosha kufikisha ujumbe kwa walengwa.

Lengo ni kuzima yanayodhaniwa ni maandamano. Kila chenye dalili hizo kitabatizwa jina kuwa mikusanyiko yenye kichocheo cha maambukizi zaidi ya UVIKO.

Akutukanaye hakuchagulii tusi.
 
You are an ardent supporter of coronavirus measures,this is one of them

Only if it is impartial and just.

It should be robust, appropriate and equally applicable to all gatherings. This needs to be as recommended by health officials.

It can't be originated from the notorious and biased Tanzania Police Force.
 
Kuanzia August 14 kuendelea tegemea lockdown. Tz us kumtindo

Kufuata mapendekezo ya wataalamu wa afya na kuweka siasa pembeni lilikuwa jambo la msingi sana.

Jiwe na washirika wake wote hawawezi kukwepa lawama:

IMG_20210719_051952_877.jpg

Mtaani kwetu leo within 500m kuna misiba 3. Juzi ilikuwa 8 within 1km. Serikali iko kimya inataka kodi na tozo zaidi.

Hatua zozote za kitalaamu za kuidhibiti hali hii zisizokuwa na chachandu yoyote ya siasa ndani yake zitakaribishwa kwa mikono miwili.

Mkakati gani upo kuudhibiti ugonjwa huu? Jibu ni kuwa haupo. Wa kufa wanakufa wa kuishi na aishi ati kuwa tumetolewa hofu.

Kutolewa hofu kwa maana ya mtu kutojali nani kafa hadi yamkute yeye ni upumbavu uliopitiliza.
 
Binafsi nategemea;

1) Kesi ya Ugaidi ya Freeman Mbowe itaendeshwa kwa kutumia camera. Washtakiwa watakua mahabusu wakati kesi inasikilizwa siku hio wakiangalia kwenye screen.

2) Kesi itaitwa kwaajili ya kutajwa. Japo IGP Sirro ameshasema jana kwamba ushahidi umekamilika.

Kwasababu Tanzania ni nchi ya kikoloni, kidikteta na ubepari.

Ingekua Kenya au South Africa kwenye kesi yenye maslahi kwa wananchi kutokana na kuhusishwa kiongozi au mtu mahiri katika mataifa yao basi ingeoneshwa LIVE kupitia vyombo vya habari maalum.

Ref: Kesi ya Oscar Pistorious wa South Africa.

Ref: Kesi ya Uchaguzi uliopita Kenya.
 
Kufuata mapendekezo ya wataalamu wa afya na kuweka siasa pembeni lilikuwa jambo la msingi sana.

Jiwe na washirika wake wote hawawezi kukwepa lawama:

View attachment 1878785

Mtaani kwetu leo within 500m kuna misiba 3. Juzi ilikuwa 8 within 1km. Serikali iko kimya inataka kodi na tozo zaidi.

Hatua zozote za kitalaamu za kuidhibiti hali hii zisizokuwa na chachandu yoyote ya siasa ndani yake zitakaribishwa kwa mikono miwili.

Mkakati gani upo kuudhibiti ugonjwa huu? Jibu ni kuwa haupo. Wa kufa wanakufa wa kuishi na aishi ati kuwa tumetolewa hofu.

Kutolewa hofu kwa maana ya mtu kutojali nani kafa hadi yamkute yeye ni upumbavu uliopitiliza.
Uko sahihi
 
Ushaambiwa ujikinge wewe unajiachia tu kama umbwa koko..unasubria fisiem wakukinge..
Elimu ya korona ishatolewa waananchi wanapuuzia! Ebooh hapo napo serikali unataka itumie nguvu?
 
Ushaambiwa ujikinge wewe unajiachia tu kama umbwa koko..unasubria fisiem wakukinge..
Elimu ya korona ishatolewa waananchi wanapuuzia! Ebooh hapo napo serikali unataka itumie nguvu?

Jiwe aliipuuza? Kuandikwa je? Au hawa lawama hawana kwenye ignorant mass?

IMG_20210614_192655_399.jpg

Kwani chanjo tunayoisotea bila mafanikio iko wapi?

Janga hili haliwezi kupiganwa na mtu mmoja mmoja.

Watu wa Loliondo nao wanajikinga vipi?

You must be kidding!
 
Siyo lazima sana watu wote waandamanie mahakamani hata mtaani tu inatosha kufikisha ujumbe kwa walengwa.
Kweli kabisa,wao wanapoelekeza nguvu maeneo ya mahakama watu mitaani wanapita na maandamano ya Amani
 
Tena itaprove effective sana.

Tarehe tano tegemea njia zote za kufika kisutu zitakuwa blocked sasa badala ya kuelekeza nguvu huko watu waanzie mitaani kwao everywhere.
 
Jiwe aliipuuza? Kuandikwa je? Au hawa lawama hawana kwenye ignorant mass?

View attachment 1878813

Kwani chanjo tunayoisotea bila mafanikio iko wapi?

Janga hili haliwezi kupiganwa na mtu mmoja mmoja.

Watu wa Loliondo nao wanajikinga vipi?

You must be kidding!

Acha ujingaa wewe!
Jikinge na korona sio kulalama kila siku na serikali isiyo jali
ukikosa maarifa utaangamia tu
Wambie familia yako, ukoo, kijiji wachukue tahadhari kinachoua ni korona na sio serikali.

TAHADHARI YA COVID INAANZA NA WEWE
 
Ujinga ni kudhani Corona ni ukimwi unaoweza kujilinda mwenyewe.

Kama ingekuwa hivyo basi wafuatao ni wajinga ila wewe:

Jiwe, Maalim, Mahiga, Kijazi, Kuandikwa na wenzao waliotangulia. Kuna habari kuwa washupavu kama wewe huendelea washupavu hadi wanapoguswa.

Wameugua Malkia wa Uingereza, Boris Johnson, na vigogo kama hao unadhani walishindwa kujilinda sembuse kapuku wewe?

IMG_20210803_043840_541.jpg

Serikali ya Tanzania tu ndiyo isiyokuwa na wajibu kwenye ugonjwa huu?

Yaonesha wewe ndiyo mliokuwa mnamtizama babu wa Loliondo akihatarisha maisha yake na ya watu wengine:

Hao wa Loliondo utakuwa bila shaka unawaona wajinga ila wewe.

Acha kujifanya unajua hali ni mburula lisilo na mbele wala nyuma!
 
Back
Top Bottom