mikopo

  1. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya miaka ishirini? Kweli Rais Samia anatupeleka pabaya

    Wanabodi, Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa serikali kukamilisha mipango yake bila kukopa lakini maelezo tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wa nchi...
  2. Mozila

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kakosea lakini pia hajakosea

    Katika hili suala la Job naona alichokosea ni nadharia ya mambo ya kitaalamu (uchumi na mikopo) ambayo kama mkuu wa mhimili alipaswa apate ushauri wa wataalam kabla hajatoa maoni yake public, lakini hajakosea kupishana na Rais kwa kuwa tu wanavaa wote kijani. Zile habari za "fikra za mkiti...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mikopo isiyoenda katika shughuli za kiuchumi ina maana gani kwa taifa letu?

    Moja kwa moja niende kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyosema Kumekuwa na sintofahamu juu ya kauli iliyotolewa na mheshimiwa spika, bwana Job Ndugai hivi karibuni na hata yeye mwenyewe ameamua kuikana kauli yake baada ya mashinikizo kadhaa kutoka kwa watu na viongozi mbali mbali...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

    Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
  6. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaandaliwa kikao na Rais, wanaamini kikao hiki kitatupa Katiba Mpya?

    Kelele zimekuwa nyingi Sana na upinzani hasa Chadema wanaonekana kumiliki agenda nyingi kila Kona , wanaonekana Wana wafuasi wengi sana mitandaoni Jambo linalokwamisha ujumbe wa serikali na CCM kusambaa ipasavyo. Wakosoaji wamekuwa wengi mitandaoni na nje ya mitandao hii inaweza kuwa...
  8. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

  9. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

    Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao. Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ahsante Ndugai, tutakuelewa baadae baada ya mnada

    Napongeza kauli ya Mh. Spika, imetoka sehemu nyeti sana na kwa mtu asiyetegemewa kusema aliyoyasema, lakini ameyasema mimi kwangu ni ushujaa na upendo kama yamesemwa katika jicho pana la tahadhari ambayo katika nafasi anajua na kuyaona zaidi kuliko sisi wapiga zumari. Kwa kifupi zimesemwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

    Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi. Magufuli aliacha deni la $24,652M Alilikuta deni ..... $15,261M Samia amelikuta deni .. $24,652M Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054 https://www.bot.go.tz/Publications/Filter/1
  14. L

    JamiiForums Tanzania Riba ya mikopo benki itashuka lini?

    Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%. Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16% Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya. Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ndugai kuhusu mikopo ya serikali inapiga king'ora cha tahadhari kwa taifa

    Ninaifananisha kauli ya Mhe. Ndugai kuhusu deni la taifa na hadithi hii niliyoghani. Vumilia usome mwanzo mwisho utapata cha kujifunza kwa nchi zetu hizi maskini. Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria ambayo haikuwahi kuwepo duniani na Mbinguni ili kukusanya mapato...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

    Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana...
  17. Noel france

    JamiiForums Tanzania Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

    Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri. Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane. Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kuna kipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2012 niliichallange Serikali ya CCM na Hayati John Pombe Magufuli kuhusu mikopo!

    Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania ! Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA" Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini. sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
  19. nashicha

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kuna mradi au tenda amenyimwa ndiyo maana anamkosoa Rais Samia

    Niwe mkweli kabisaa Spika wetu wa bunge kwasasa hana ubavu wala nguvu za kisiasa kutokana na kuwa na sura mbili baada ya kulifanya bunge likawa sehemu ya kupiga makofi na kumshangilia mwendazake. Hata hii mikopo anayoilalamikia alikopa yeye na bunge lake kimya kimya na hakuweza kuhoji kutokana...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ishakuwa mingi sasa kazi inayoendelea ni madebe.

    Inaposemwa kazi iendelee na nyinyi mjiongeze ,utaziona kazi nyingi sana ambazo CCM walikuwa nazo wakati wa Magu na sasa zinasemwa kazi ziendelee au ziendelezwe. 1) Kama uliona unaonewa basi kazi ya kukuonea itaendelea 2) Kama uliona mambo yanakunyookea basi yatazidi kukunyookea 3) Kama waliiba...
Back
Top Bottom