mikopo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Taasisi gani inatoa mikopo isiyo na Riba kwa wafanyakazi wa Serikali?

    Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali? Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
  3. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

    Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo? Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio. Kama swala...
  4. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kunani makato ya mikopo kwenye mishahara ya wafanyakazi Januari 2022?

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili. Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana. Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6...
  5. Sipendi Uchawa

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Hazina umepata hitilafu, hamjalipiwa mikopo

    [emoji419]Mfumo wa hazina ume misbehave (despite the GIGOs) baadhi ya wenye mikopo wamekatwa mara moja (1 instalment) ila balance ya mkopo imepungua mara mbili (2 instalments). Kama hazina wataweza ku fix hilo tatizo mapema mshahara wa Feb, 22 unaweza kuwa sawa. Puuzia taarifa zinazoenezwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

    Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano? Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo? Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka...
  7. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa afisa mikopo

    Heshima kwenu. Naomba kujuzwa, hivi hizi kampuni za mikopo huwa zinalipa mshahara wa Tshs ngapi kwa afisa mikopo? Je, mbali na mshahara huwa Kuna benefits zingine ambazo mfanyakazi anapata?
  8. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

    Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu. Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni. Awali mwezi uliopita deni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wafanyakazi: Mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji

    Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna benki ambayo ukieenda, utaona kitu cha tofauti sana na benki nyingine kuanzia kwenye riba na mambo...
  10. CK Allan

    JamiiForums Tanzania NMB walazimishwe kushusha riba zao za mikopo

    Tayari Benki Kuu walishatangaza kupunguza riba kwa mabenki ili nao washushe kwa wateja wao. Hapo nyuma riba zilikuwa 20%, Badae wakaja 18% na 17% CRDB wameshusha kutoka 17 kwenda 16 NMB wakakomaa na 17, Sasa leo CRDB wametoka 16 hadi 13% NMB ndio kwanza hata habari hawana. Ni kweli NMB ina...
  11. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

    Naomba kujua kama nitachukua mkopo wa makampuni ya simu na kutolipa wanaweza kunitafuta na kunidai?
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tuelekezane jinsi ya kupata mikopo ya serikali hususan kwa vijana

    Habari wakuu. Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu. Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na serikali kwa ajili ya vijana, walemavu na wanawake. Kwa waliowahi kuomba hii mikopo ama kuipata hii...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mbona wanafunzi wa vyuo hawapewi mikopo inayotosheleza?

    Serikali imesema wanafunzi wanalipwa mikopo lakini mbona hiyo mikopo inalipwa robo tu hadi nusu? Kama unamlipa mwanafunzi mkopo ambao ataurejesha, kwanini umpe mkopo ambao haumtoshelezi? Mbona tunajisifia kuwa tunakusanya kodi kubwa kila mwezi lakini wakati wa kulipa ni matanga? Hata...
  15. love life live life

    JamiiForums Tanzania Siku tukigawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda Zenj?

    EAC ilipovunjika Kenya alihodhi mali nyingi za EAC je, ikitokea tumegawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda zenji?
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia" Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
  17. data

    JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all. Hao nao hawana budi kuondoka naeee. Haki tena. Mwenye ile video aweke.
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ndugai nyoosha maelezo, mikopo haikupata idhini ya Bunge!!

    Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema .......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi trilioni 6.245. Zaidi ya watu wachache tu serikalini, sio Bunge wala watanzania kwa ujumla wetu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

    Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na...
  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Sauti kutoka Kaburini - Ni Jambo la Kijinga Kutegemea Mikopo Kujiletea Maendeleo...

    MASKINI AKIKOPA KAPATWA, TAJIRI AKIKOPA KAPATA Na. M. M. Mwanakijiji Tuangalie ukweli wa hoja hii na tulinganishe nani yuko karibu zaidi na hili kati ya wanaotetea mikopo isiyoulizwa na wale wanaouliza kuhusu mikopo na misaada ya kigeni. Yanayofuatia siyo maneno yangu nimeyanukuu tu. Njia...
Back
Top Bottom