mikopo

  1. Siri zavuja mikopo chefuchefu

    SIRI ZAVUJA MIKOPO CHECHEFU - Jaji aliyehukumu kihuni kesi za wafanyabiashara waliokataa kulipa mkopo waliokopa kisha kukimbilia mahakamani na kuwapa ushindi ahamishwa mahakama -atolewa mahakama kuu divisheni ya biashara na kupelekwa mkoa mmoja wa nyanda za juu kusini -Wafanyabiashara...
  2. Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  3. R

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo. Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu...
  4. Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
  5. Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Habari wana jamvi. Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa CCM hasa vikundi vya wanachama wao ndivyo vinapewa mkopo. Niko Mkoa x na ninafanya...
  6. Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao. Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu. Bwana huyu naye...
  7. Naomba kujua kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji, ukiacha kampuni ya watu credit

    Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji hapa Dar es Salaam.
  8. Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  9. A

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali. Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu. Kampuni inaitwa Credit Land
  10. Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  11. Mikopo ya online ambayo imetapakaa Playstore

    Natumaini muwazima. Shida hazina adabu unajikuta unaingia online unaanika taarifa zako na unapewak kamkopo ka sh 20,000 interest kuuubwa. Lakini naomba kuuliza kuhusu usalama na hali halisi ya hivi vitaasisi. Naelewa ukikopa sh 10k ukakaa nayo ikazaa riba inaweza fika milioni. Kasheshe...
  12. P

    Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  13. Hili la kuliwa hela za Halmashauri halikuanza leo ndio kaburi la hela za mikopo

    Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo kidogo , Chini ya uongozi wa ccm hakuna mwaka hawa wanaokula hela hizi watashitakiwa
  14. DOKEZO Responded Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa hizi:- SMS - yan...
  15. Tusikatae chakula tu, tuikatae pia misaada na mikopo ya fedha kutoka kwa wazungu

    Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani (goodwill) bila mpokeaji kuhitaji kumpa masharti mtoaji. Taarifa za Bashe (Waziri wa Kilimo) kuukataa...
  16. Dhamana iliyowekwa na mifuko ya hifadhi ya Jamii PSSSF/ NSSF kwenye Mikopo

    Hapa watumishi wengi watajua/wanajua wanachukua pesa walizo wekeza kwenye mfuko ( michango yao ya kwenye mfuko ) kitu ambacho sio sahihi. Mifuko ilicho kifanya (Sheria mpya inavyo sema) michango yako iliyopo NSSF/PSSSF inatumika/itatumika kama dhamana ya mkopo, yani ukishindwa kulipa uo mkopo...
  17. Mbunge Aysharose Mattembe asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wajasiriamali wa mikopo ya asilimia 10 Singida DC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani 2024 alipata fursa ya kuwa mgeni rasmi katka sherehe zilizofanyika Tarafa ya Mntinko Wilaya ya Singida. Mhe. Aysharose Mattembe aligawa Vyeti vya pongezi kwa vikundi vya Wajasiriamali...
  18. Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

    Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara. Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
  19. Serikali inatarajia kutumia Tsh. Trilioni 9.59 katika Mikopo kwenye Bajeti ya 2024/25

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2024/25, wakati alipokuwa akiweka...
  20. Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

    Najua kuna watu wa bank kuu hapa. Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena. How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli? Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…