mikono

Mykonos Airport (IATA: JMK, ICAO: LGMK) is the international airport of the Greek island of Mykonos, located 4 kilometers from the town of Mykonos. It serves flights to domestic and European metropolitan destinations due to the island being a popular leisure destination.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: De Gea alivyosalitiwa na miguu badala ya mikono

    MVINYO wa Nebiollo unaopatikana Italia ndio mvinyo ambao unasindikwa katika chupa kwa muda mrefu zaidi duniani. Miaka 20. Kadri unavyozeeka ndivyo unavyokuwa mtamu. Unanywewa na matajiri kama kina Sir Alex Ferguson. Katika huu mchezo wa kihuni unaoitwa soka, wachezaji wanaolinda lango maarufu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa waandishi wa habari kukubali kujidhalilisha kwa kudhalilisha taaluma yenu

    Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari. Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha...
  3. JamiiForums Tanzania Ukienda ugenini usiende mikono mitupu!

    UKIENDA UGENINI USIENDE MIKONO MITUPU! Anaandika, Robert Heriel Kama mtu unayejielewa, heshima sio kitu cha bure ingawaje huwezi inunua. Moja ya malezi bora ambayo kijana wa kike au Wakiume unapaswa kuwa nayo ni pamoja na mafunzo kuhusu kwenda na kuishi ugenini. Ukienda ugenini usiende Mikono...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni mpambano mkali kati ya watu 9 dhidi ya mtu mmoja: Wanawaza kunyoosha mikono na kusitisha mpambano! Putin noma!!

    Vs Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto na Gachagua wasalimiana kwa kupeana mikono na Raila Odinga msibani

    Rais wa Kenya, William Ruto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wakisalimiana kwa kupeana mkono na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga wakati walipokutana kwenye msiba wa Mukami Kimathi ambaye alikuwa mke wa marehemu Dedan Kimathi ambaye alikuwa ni mpigania uhuru wakati wa Ukoloni. Akiwa msibani hapo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

    Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama: Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa? Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

    Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.” Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchi iko kwenye mikono salama, Jeshi la Wananchi limeleta utulivu mkubwa baada ya mtikisiko uliotokea Jumamosi

    Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao. Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
  10. JamiiForums Tanzania Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

    Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa mvulana na msichana. Ilifika wakati maisha yakabana Sana jamaa yangu akalazimika kwenda mjini kuhenyeka...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali mkoa wa Mara inatarajia kuweka uraratibu wa kuwakagua Wanafunzi wa kike kama wamekeketwa

    Serikali mkoa wa Mara imesema inatarajia kuweka uraratibu wa kuwakagua wanafunzi wakike kabla ya kuingia darasani , waliokekeketwa na endapo itabainika kuna mtoto kakeketwa wazazi na walimu wakuu watachukuliwa hatua za kisheria kwa kushindwa kudhibiti ukeketaji. Chanzo: Jambo Tv Yaani kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Mlioenda kijijini kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu nyoosheni mikono juu!

    Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja mbuzi, ng'ombe n.k ili mradi kunogesha furaha ya kuwa pamoja na kujiandaa kukaribisha mwaka mwingine...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ‘mikono’ ya Serikali ilivyotishia uhuru Bunge sintofahamu ya kujiuzulu Ndugai

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anadaiwa huenda kujiuzulu kwake nafasi ya Spika alilazimishwa na hakujizulu kwa matakwa yake kama ilivyoripotiwa. "Mbali na mawazo hayo, kuliibuka kauli mitandaoni kwamba kiongozi huyo alijiuzulu kwa kulazishwa, jambo ambalo halikuthibitishwa wala kukanushwa"...
  14. JamiiForums Tanzania 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini (vijidudu) husambazwa kwa njia ya mikono

    Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention - CDC). Ni kwanini vimelea ni viumbe hatari sana? Kiini ni kiumbe kidogo sana kinachoweza kusababisha...
  15. JamiiForums Tanzania Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

    Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye. Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama...
  16. JamiiForums Tanzania Iringa: Afungwa jela miaka mitatu kwa kumchoma mikono mtoto wa kambo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Edward Uphoro ametoa adhabu kwa mshtakiwa Bruce Karistus aliyekiri kutenda kosa hilo dhidi ya mtoto wake wa kufikia. Kwa mujibu wa Mashtaka imeelezwa kuwa Oktoba 21, 2022 Karistus alimjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mtoto mwenye miaka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga. Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao. Dunia nzima...
  18. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya mikono ya mwanaume kwenye mwili wa mke wake

    Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
  20. JamiiForums Tanzania Mama amchoma mwanaye mikono akimtuhumu kuiba sh. 250

    Mkazi wa Kijijii cha Namanjele mkoani Mtwara, Somoe Mohamed amemchoma mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano kwa madai ya kudokoa mboga na kuiba sh. 250. Akizungumza na Mwananchi kijijini hapo leo Oktoba 4, Somoe amekiri kufanya ukatili huo, akisema lengo lake lilikuwa ni kumwadhibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…