mikono

Mykonos Airport (IATA: JMK, ICAO: LGMK) is the international airport of the Greek island of Mykonos, located 4 kilometers from the town of Mykonos. It serves flights to domestic and European metropolitan destinations due to the island being a popular leisure destination.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Bar na migahawa tuwekeeni mabomba na masinki ya kunawa mikono kwa ajili ya chakula

    Mimi sio muumini wa kunawaishwa mikono na maji ya vikombe au majagi kwenye vibobo vilivyozoeleka sana sehemu nyingi hapa bongo, huwa napendelea zaidi kwenda kunawa mikono bombani kabisa na maji ya kijipimia mwenyewe, sasa inakera unafika Bar kubwa kabisa au mgahwa wa hadi halafu hakuna bomba za...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nanawa mikono.

    Serikali imemthibiti Askofu Gwajima ili amani iweze kudumishwa katika nchi yetu. Lakini wanaibuka watu wengine wanaongea kama alivyosema Gwajima. Rais Samia anafananishwa na Iddi Amin Dadah. Rais Samia anafananishwa na viongozi wengi makatili. Hata UN na White House wanaitilia mashtaka...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tembo hazikwi na meno yake: wanachadema wanaojiunga CCM mnakaribishwa kwa mikono miwili

    Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi. Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

    Sikiliza kwa makini mdogo wangu wa chuo kikuu au chuo chochote kile – huu uzi nimeutengeneza specifically kwa ajili yako. Najua huta-like, najua utajisikia vibaya, najua ego yako ya kijinga itachafuka – but I don’t give a f*ck! This is real talk, and if you got a brain, utashtuka! Mnakuja...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania SHARIA LAW haizuiliki tena huko Uingereza,Watu wataanza kukatwa mikono!

    Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko vita tu mika kama waislamu hawa watafanikiwa kuipenyeza sheria hiyo. Uingereza wanatakiwa wawe...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Picha: watoto wa congo waliokatwa mikono na leopard kama adhabu ya kutoleta mpira

    ilianzishwa kama Dola huru la Kongo likiwa mali binafsi ya mfalme Leopold II wa Ubelgiji. Historia yake ni ya aibu na ya ukatili kupindukia. Utawala wa mfalme ulionekana kuwa wa kinyama na upinzani dhidi yake ulikua katika nchi nyingi za dunia. Hatimaye alipaswa kukabidhi koloni lake binafsi...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuiona, kuishika Rupia kwa mikono yangu miwili na imenistaajabisha kwa jinsi inavyobadilika badilika

    Ni kweli kabisa Pesa ya zama (Rupia) ni pesa yenye maajabu na yenye kustaajabisa haswa ukiishika mkononi. Naam, ilikua mishale ya saa Mbili mbili hivi usiku tena kuna kiza kimetanda Lakini kuna mwanga Wa asili (mbaramwezi, Nyota ) ndizo ziling'arisha anga. Nikiwa Sina hili wala lile, GhafLa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako

    Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako! Huyu mtoto ameniacha hoi! Ebu chukua picha ndo mtoto wako mwenye miaka mitatu anatema vitu namna hiyo? The whole purpose of education is to turn mirrors into windows. Huyu mtoto ni Tesla Armor Glass kwa huu uwezo!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wazalendo huko Kivu kasikazini yaanza kunyoosha mikono

    Hapo jana, katika eneo alipouliwa Generali Chirimwami, lililokuwa mikononi mwa SAMIRDC na MONUSCO, M23 iliwafukuza na kuwasogeza nyuma. Kundi la FDLR chini ya uongozi wa General OMEGA, na lenyewe lililokuwa chini ya mlima Nyiragongo, na lenyewe limezingilwa na kuachiwa tu njia ya kutokea...
  13. snipa

    JamiiForums Tanzania Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

    Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi. Mfano hapa...
  14. winnerian

    JamiiForums Tanzania Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  15. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania "Mikono ya inayosali " - The hands that pray

    Inawezekana umeiona hii picha mara nyingi, ila leo utaifahamu stori ya kusikitisha iliyojificha nyuma ya hii picha, stori inaanzia karne ya 15 katika kijiji kidogo kilichopo pembeni ya jiji la Nuremberg, huko ujerumani. Kulikua na familia yenye watoto kadhaa, ilikua ni familia maskini ili...
  16. S

    JamiiForums Tanzania imekuaje ngome ya upinzani imenyoosha mikono

    kwa Tanzania kuna jamii ya watu X hawa jamaa walikua ni wapenda mabadiliko since day one reflection yake ni kweli kwenye uchumi wao binafsi somehow ndo wanaongoza /wapo vizuri. cha kushangaza miaka ya hivi karibuni ni kama wame surrender na kuunga mkono juhudi za CCM . nilitamini sana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Sitarudia kuzama chumvini,nimebwa na mapaja na kushindiliwa kichwa kwa mikono hadi nikakosa pumzi

    Wakuu sitarudia tena kufanya maandalizi ya kulana kwa kuzama chumvini baada ya shemeji yenu kunibana na mapaja kwa dk 4 huku akinishindilia kichwa changu kwa mikono hadi nikakosa pumzi. Zoezi hili lipigwe marufuku litakuja kuondoka na maisha ya mtu . USSR
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Walebanon waamua wenyewe kuwaua Magaidi kwa mikono yao

Back
Top Bottom