Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira.
Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...