mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo watu wake hawarogani sana

    Great thinkers. África Kwa uchawi tunatisha. Inasemekana 90% ya waafrica wanaaami katika uchawi na huwa wanaenda Kwa waganga mambo yakienda kombo. Mikoa ifuatayo nahisi Hakuna wachawi wengi hapa Tanzania. 1. Dar 2. Mara 3. Dodoma 4.Kagera 5. Manyara 6.Arusha 7. Singida. Kwa uelewa Wangu hii...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa mikoa wa Kanda ya Pwani wanaomuunga mkono Tundu Lssu wanatoa tamko muda huu

    MUDA HUU: WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA AMBAO NI VIONGOZI WA CHADEMA WA MIKOA MBALIMBALI YA “KANDA YA PWANI” WANAOMUUNGA MKONO  TUNDU LISSU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI. KARIBU KUWASIKILIZA https://t.co/ZqIQkJEQLF Chanzo: Joel Msuya X account.
  3. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Mikoa ipi inalipa kuweka nyumba ya kupangisha?

    Wakuu mikoa inatofautiana kwa vipato vya wakazi wake. Sina shaka kuhusu Dar linapokuja suala la mzunguko wa hela. Tupeane abc za mikoa yenye vipato vilivyosimama (ukiondoa Dar) na kuna hela nzuri ya pango kwa hizi nyumba za kawaida za kupangisha (ambazo sio lodge).
  4. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  5. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa watu washamba.

    Mikoa inayoongoza kwa watu washamba. 1. Kigoma 2. Arusha 3. Kilimanjaro 4. Mbeya 5. Rukwa 6. mwanza.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Sikukuu, TRC yaongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha

    ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

    Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa minane kuanzia leo Jumanne, Desemba 3, 2024. Mvua hizo katika mikoa hiyo ya Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe na Manyara. Taarifa hiyo ya TMA iliyotolewa leo Desemba 3, 2024 imetahadharisha...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nimefatilia wote waliofariki Kariakoo wanatoka Kilimanjaro na Iringa, mikoa mingine haijaona umuhimu wa Kariakoo?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
  10. B

    JamiiForums Tanzania ARUSHA wamejitofautisha na Mikoa Mingine kuhusu LODGE-Wifi

    Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini. Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

    mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

    Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam. Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani. Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Kitwana akagua mipaka ya Mikoa kwa kutumia Helikopta

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi kuangalia mipaka ya mkoa huo, pamoja na mikoa mingine ya Kusini na Kaskazini ya Unguja. Hii inamaanisha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Namtafutia mwanangu nafasi ya form one 2025 mikoa ya mwanza Geita Shinyanga Simiyu Mara

    Heshima Kwenu, Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba. SIFA ZA SHULE 1. Shule ni lazima iwe boarding. 2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka. 3. Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

    Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha 1.Kilimanjaro 2.Iringa 3.Kigoma 4.Mara 5.Mwanza Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Haya madini gani na yanapatikana mikoa gani?

    Wakuu haya n madini gani?
  18. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dunia ya Tatu hadi Kwanza: Tanzania na Ustawi wa Kiuchumi wa Mikoa yote, bara na visiwani

    1. Ndugu zangu Watanzania, wa dini zote, vyama vyote vya siasa, kanda zote nchini na rika zote, ni wakati wa kujiuliza: [ISPOILERNi wapi tumekosea hadi kushindwa kufikia mafanikio ya kweli ya maisha? 2. Tumeishi kwa matumaini ya maendeleo, lakini bado tunaonekana kubaki nyuma licha ya...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanaume wanaotoka hii mikoa ni wambea sana?

    Wakuu Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini. 1.Dar es salaam 2.Pwani 3.Morogoro 4.Iringa 5.Mbeya 6.Mtwara 7.Lindi 8.Tanga 9.Singida 10.Tabora
Back
Top Bottom