miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Boda boda waache kupita katika njia za watembea kwa miguu

    Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024. Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru. Maana wapo boda boda na baadhi ya bajaji ambao sio wastaarabu huacha njia zao na kutumia njia maalumu...
  2. JamiiForums Tanzania Utabiri vs. Ubashiri: Tofauti na Umuhimu katika Michezo ya Mpira wa Miguu

    Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu. 1. Utabiri: - Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Miguu kufa ganzi na maumivu ya miguu

    Tatizo la miguu kufa ganzi na kuuma linaweza kusababishwa na hali ya kukaa kwa muda mrefu kupelekea kupunguza mtiririko wa damu au kuweka shinikizo kubwa kwenye mishipa. Kutetemeka na kufa ganzi kwa muda mrefu au isiyoelezeka kwenye miguu (paresthesia) inaweza kuashiria athari katika mfumo mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Je ni kweli Dolph alimjeruhi vibaya Sylvester Stallone wakiwa wanarekodi filamu ya Rocky IV?

    Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha kwani Dolph Lundgren alimpiga ngumi walipokuwa wakirekodi vipande vya mapigano. Alidai kuwa alitamani...
  5. JamiiForums Tanzania Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada; Dawa ya Miguu kufa ganzi na kukosa nguvu

    Habari za wana JF? Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70. Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo zinakuwa na ganzi. Naimbeni tiba na ushauri. Yuko DAR ES SALAAM. Ombi la rafiki yangu wa karibu...
  7. JamiiForums Tanzania Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

    Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi. Mimi oga yangu naosha...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaupenda, ila mpira wa miguu ni mchezo wa kihuni

    Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing. Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college. ''Yanga waliandikamkataba kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  10. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa mpira wa miguu ni uwendawazimu ambao umehalalishwa

    Ukiutafakari kwa kina ushabiki wa mpira wa miguu utagundua kwamba sio kitu kingine isipokuwa uwendawazimu ulio halalishwa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kuboresha mpira wa miguu nchini kwa Vijana, napendekeza UMITASHMITA na UMISETA iwekwe chini ya TFF na kutolewa TAMISEMI

    Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini. Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubora wa Viwanja ndio Ubora wa Soka Letu

    Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
  13. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

    1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Timu za mpira wa miguu ziwe huru kibiashara

    TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  16. JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Usafi wa Zamani!

    Habari zenu Wanajukwaa! Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu) Baada...
  17. JamiiForums Tanzania Vyombo vya moto vipunguze spidi barabarani hasa kwa zile ambazo watembea kwa miguu wapo wengi

    Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi. Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Akagua KM 20 za Barabara wa Miguu, Aagiza TANROADS & TARURA Kushirikiana Kusimamia Ubora

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…