mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi upi ni umuhimu wa kuwa na Gridi ya Taifa kwenye mifumo?

    Nimekuwa nikisikiliza wabunge wakiomba mikoa yao kuunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa Je hiki kitu kina manufaa gan kwa nchi? Maana kwa mtazamo wangu naona kama nchi nzima kuwa na mfumo mmoja wa kusambaza nishati kama ya umeme ni hatari kiusalama Fikria sasa hivi karibia mikoa yote ipo...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi ya viongozi

    1. Mfumo wa Almasi Diamond Formation ni mfumo thabiti wa ulinzi wa karibu unaotumiwa na makomando au walinzi binafsi kulinda usalama wa viongozi (VIPs) wanapotembea kwa miguu. Mfumo huu hupangwa kwa umbo la almasi ambapo kiongozi huwekwa katikati ili kumpatia ulinzi kamili wa nyuzi 360 dhidi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania CCM imetengeneza serikali ya majizi na mifumo ya majizi na sasa kumeletwa machawa kuimarisha mifumo ya wizi!. Soma ushahidi hapa

    Hii nchi imeharibiwa sana na kutengenezwa kuwa pori kubwa sana yaani (the jungle of thieves,). Na walioshika mpini hawana mpango kabisa wa kutatua hii changamoto kwa sababu nyingi tofauti tofauti. Ushahidi wa haya mambo uko wazi na dhahiri sana, ikiwa ni pamoja na hiki kinachoitwa ziara za...
  4. Zum

    JamiiForums Tanzania KERO Vibali vya kazi kusafiri nje ya nchi kupitia Mifumo ya TAESA kwa waombaji/waliopata ajira nje ya nchi vinachelewesha na hakuna updates zozote

    Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo. Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani

    Jiandaeni kwa El Niño. Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani, jambo ambalo linaongeza hatari ya matukio makubwa ya hali ya hewa katika miezi ijayo. Ingawa...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania CHINA: Inaripotiwa kuwa waislamu wanalazimishwa kula nguruwe na kunywa pombe katika kambi za kudhibiti watu wasiotaka kufata mifumo ya uchina

  7. contask

    JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya usafiri imegoma kuingia katika mifumo ya kidijitali

    Habari wakuu. Leo natamani tujadili mapinduzi ya mifumo ya malipo kwenye sekta yetu ya usafiri wa umma, hasa hapa mjini ambapo kero ya chenji imekuwa ya kudumu. Kila siku tunashuhudia mabishano yasiyo na tija kati ya abiria na makondakta, jambo ambalo linaweza kuisha kabisa tukiamua...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimetuma maombi ya uhamisho Ofisi ya UTUMISHI, miezi mitano hakuna jibu, nini maana ya kuleta mifumo ya Kidigitali?

    Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote. Je, hii mifumo imekuja...
  9. NassoroTechtz

    JamiiForums Tanzania SAFARI YANGU: Nassoro Hemedi Kilimbite na Mapambano ya Nassoro TechTz – Huduma za Computer, Madishi na Mifumo ya Kidijitali

    Habari za muda huu Wakuu wa JamiiForums. Leo nimeona niingie mtaani kwenu rasmi. Jina langu ni Nassoro Hemedi Kilimbite, kijana wa kitanzania niliyezaliwa mwaka 2000. Mimi ni mmoja wa vijana wanaoamini kuwa teknolojia ndiyo mkombozi wa uchumi wetu wa sasa na chachu ya maendeleo kwa kila...
  10. Soul21

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  11. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, mifumo ya TRA yote website ni IDRAS iko offline au shida iko upande wangu?

    Nimeona nilete hapa maana tangu asubuhi leo kila ninapotaka kuingia kwenye tovuti ya tra pamoja IDRAS sipati access kuna shida huko TRA TRA Tanzania
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji

    Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, imeshakuwa na wakurugenzi kadhaa, ila mara nyingi huwa wanaondoka kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

    🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran: "Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea? Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako. Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  16. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Hatua inayofuata ni mifumo yote kusomana kidigitali

    1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k 2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za umiliki,hati ya utambulisho wa umiliki,leseni za biashara n.k 3)PESA ZA MAKARATASI..zitaondolewa..itaanza...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Malipo ya mshahara wa madereva yamechelewa kutokana na hitilafu za kiufundi katika mifumo ya ulipaji wa fedha

    TAARIFA YA UFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA MADEREVA WA MIKATABA – HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA JAMII FORUM TAREHE 10.02.2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na madereva...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya tiketi ya mtandao iliyoishinishwa kutoa huduma kwa mabasi yaendayo mkoani na nje ya nchi

    Utangulizi Kanuni za Tiketi Mtandao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024, zilizotangazwa na Serikali (Tangazo la Serikali Na. 23 la tarehe 12 Januari, 2024), zinaweka sharti kwamba mifumo yote ya Tiketi Mtandao inapaswa kujaribiwa, kuidhinishwa, na mmiliki wake kupata kibali cha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
Back
Top Bottom