mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Ya CCM tumeyasikia, yamepita. Turudi kwenye habari ya mjini yaani Mifumo kusomana.

    CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia. Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana hivyo kupora maamuzi ya watu katika kupiga kura, limewashtua na kukitikisa Chama hicho. Mabadiriko ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais samia alipotaka mifumo yote ya Tehama serikalini isomane ili kujua nani ni nani katika nchi hii

    Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Utumaji wa matokeo ya Kura kwenda Tallying centre ndio 'Mifumo' INASOMANA?

    Tatizo sio kuhesabu Kura wala mawakala kusaini Bali kwenye utumaji wa matokeo kwenda kwenye tallying centre hapo ndio mifumo INASOMANA?
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mifumo kusomana (NIDA-INEC-NECTA)

    Mifumo hii kusomana ni jambo zuri na la kuigwa. Unaweza kupata taarifa popote, muda wowote. Tupunguze ujuaji
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natengeneza website(tovuti), mifumo ya ya kutunza kumbukumbu, hii nilimtengenezea mwanajamiiforum icheki

    Nicheki +255 0756704145 - Hii tovuti nilimtengenezea mwanajamiiforum Meneje wa Kampuni, tovuti kama hii natengeneza kwa 500,000 Tsh bei kitonga kabisa, karibu. Kama unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu upo au programu (software ) ipo bei mfumo wa kumbukumbu kutunza wa seva ni 500,000 Tsh ,na...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ? NIDA ijitegemee INEC ijitegemee Banki ijitegemee NECTA ijitegemee RITA ijitegemee TRA ijitegemee TUCTA ijitegemee Utumishi Ijitegemee Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima. Leo unatumia Google play store kusajili Facebook...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

    Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu. Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa njia zilizo haramu. Tumebebeshwa kesi dhidi ya Lissu tusiyoielewa na tunaopaswa kuwashitaki kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Pole pole alikuwa na nafasi ya kurekebisha Yale yote anayolalamikia Leo lakini alijisahau akaacha Mifumo ya one man show walau amesema Ila amechelewa

    Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole Ipite mbali Mifumo isipite naye Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe Nape naye alijisahau siku aliponyoshewa bastola na Mifumo mibovu akashtuka sijui Kama ameshajifunza na...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Misime: Ukiona watu wanashambulia mifumo ya ulinzi ndiyo tabia ya wahalifu

    Akizungumza leo Agosti 21, 2025 katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema watu wanaoshambulia na kulikatisha tamaa Jeshi la Polisi ndio wahalifu.
  16. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mifumo Haina ushirikiano

    Mtu una vielelezo hivi 1. Cheti Cha kuzaliwa 2.Cheti Cha shule ya msingi 3.Cheti Cha secondary 4. Cheti Cha ufundi veta. 5.TIN number 6.Reseni ya Biashara 7.Kitambulisho Cha NIDA 8.Passport ya Tanzania • Sasa mtu ukienda kupata Huduma ktk Hofisi za watawala wanakuambia kalete Barua ya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwasaga: Udukuzi sio tu wa mifumo, kuna udukuzi wa Akili za Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga amezungumzia kuhusu matumizi ya Artificial Intelligence (Akili Unde), msikilize akifafanua jinsi gani suala hilo linavyoweza kuwa hatari kwa Jamii... Korea ya kusini kupitia taasisi ya usalama mtandani ya korea- KISA,inatarajiwa kuendesha...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama. Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia. Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya huduma ya afya GOT-HOMIS na EHMS inatumiwa kwa misingi ya hadhi ya hospitali?

    Habari ndugu, Naomba kufahamu mifumo ya kutolea huduma za afya kwa mfano GOT-HOMIS na EHMS imewekwa kwa kufatana na hadhi ya hospitali? Hospitali nyingi za wilaya zinatumia GOTHOMIS na huu mfumo naambiwa na watumiaji kwamba una mashetani mengi kiasi kwamba unapelekea baadhi ya huduma za afya...
Back
Top Bottom