miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Meneja Simba Queens afungiwa miezi sita na faini kwa kuwashambulia waamuzi

    Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichopita taarifa za mechi za Ligi Kuu ya Wanawake imemfungia Meneja wa Simba Queens, Selemani Makanya kwa miezi 6 na kumpiga faini ya TSh 1.5 Milioni kwa kosa la kuwashambulia Waamuzi baada...
  2. cold water

    JamiiForums Tanzania Tuna miezi mitatu kwenye mahusiano lakini anachukia mimi kuongea sana

    Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda...
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hamas hali ni tete baada ya Operation Gideon -Yasema itaachia nusu ya Mateka vita isimame kwa Miezi miwili washibe kwanza njaa mbaya sana. Washaona

    Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita. Hamas...
  4. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Ufilipino, Rodrigo Durtete atimiza miezi kadhaa Jela akisubiri Mashtaka ya Mauaji

    Rais wa zamani wa Filipino ametimiza miezi miwili Jela kwa tuhuma ya makosa dhidi ya ubinadamu na Mauaji. Tuzidi kumpa Moyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ndani ya jela.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mimba miezi 10 (wiki 40) bado hajajifungua

    Naombeni ushauri nn nifanye Mke wangu ana mimba ya wiki 40 (leo ndo siku yake ya mwisho katika hizo wiki 40) ila bado hajajifungua. Tumbo halimuumi wala hakuna hali yoyote ya hatari inayomsumbua. Mtoto anacheza vizuri kabisa ila sasa wiki zake za makaridio ya kujifungua zimeisha ila bado...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanasemaga mume wangu hata akienda mbali kutafuta kwa miezi kadhaa hakuna shida ni waongo.

    Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wasafi hawajalipwa mishahara miezi kadhaa ila bosi wao anaonekana anatunza mamilioni kwenye harusi Nigeria

    Habari wadau. Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola mia mia kwa watu wengii Hasiowajua.. ila wafanyakazi wake anaewajua mishahara hakuna Waajiri muwe...
  10. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Wanaanga Russia na Marekani warejea duniani baada ya miezi tisa

    https://www.aljazeera.com/news/2025/4/20/soyuz-ms-26-spacecraft-brings-us-russia-crew-back-to-earth Kumbe wanashirikiana kwenye mambo ya anga
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Elon Musk apewe tenda kuibadili PCCB kwa miezi 3!

    Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi yakufuga nguruwe bila kudumaa na kupata uzito 117 kg kwa miezi 6 bila gharama kubwa

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  13. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

    Naomba kuuliza Mwanamke mwenye mimba ya miezi 9 , naweza kumsafirisha kutoka dar to dodoma? Kuna emergency itabidi asafiri immediately Kiafya ipoje hii
  14. S

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 linamaliza muda wake miezi 3 ijayo watanzania tutalikumbuka kwa lipi?

    BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
  15. Hamduni

    JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo kwa miezi 9 mfululizo yakusanya trilioni 24.05

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

    Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Itakuwa haina maana unakaa miezi miwili hujapigwa Ban? Are you dead? Huo ni Uzwazwa

    JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa. Ama sivyo moderators wanakuwa bored sana. Wanakuwa kama hawana kazi vile maana sasa watafanya nini? Hamna cha...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia wakae chonjo, wasipokuwa makini, Rais anaweza kuzindua miradi kanda ya ziwa kwa miezi sita mfululizo, ni mingi sana

    Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya. Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo anaweza kutumia miezi sita mfululizo bila kupumzika hata siku moja. Wasaidizi wake wawe makini...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wanaanga waliokwama angani Miezi 9 warejea duniani

    Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov, hatimaye wamerudi duniani usiku wa kuamkia leo baada ya kukwama angani kwa miezi tisa. Wanaanga hao...
Back
Top Bottom