michezo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya michezo kama funny city

    Wakuu Nina wazo lakufungua sehemu ya michezo kama ya funny city.je wataalamu wakutengeneza madude Yale kama ya funny city wanapatikana wap
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yajipanga kusogeza kliniki za ardhi katika michezo

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

    Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”??? Yuko sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Ardhi Sports Club yashiriki ufunguzi wa Michezo ya 40 ya SHIMIWI Kilimanjaro

    Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na maandamano ya wanamichezo wote wanaoshiriki michuano hiyo mkoani Kilimanjaro. Maandamano ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna ushahidi wowote wa kihistoria au wa kisheria au kuna ukweli? Ukweli kuhusu nembo hizo umejikita katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ibrahim ambokile wa EFM, ni mshabiki au mwana habari wa michezo mwenye mapenzi ya dhati na Yanga?

    Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
  9. JamiiForums Tanzania MICHEZO NA VICOBA VINAVYOUA NA KUDHALILISHA NDOA ZA WENGI

    Wananchiiiiiiiii......... Hivi mnajua kwa asilimia kubwa za wanawake wanaojishughulisha na michezo ya fedha na upatu wanakuwa ●Hawapendi tendo la ndoa ●Wanakuwa na upuuzaji wa wenzi wao ●Wanakuwa watumwa wa madeni mitaani na kwenye taasisi ●Wengi wanaanza "Umalaya" ili kukidhi marejesho...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wabongo na michezo kwa afya zao, na mambo muhimu yanayoweza fanyika hodpital kuokoa jahazi la daz

    Kuna kitu tunahitaji kuelewana hapa. Mgonjwa anaingia maabara a.k.a hospital za kitaa, kabla hata hajamweleza vizuri Mpimaji aka daktari wa kitaa tatizo lake, tayari ameshajipangia: “Nipime mkojo.” “Nipime malaria.” “Nipime damu.” “Nipige X-ray.” 😂😂 Halafu unakuta anapima mkojo, majibu...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Kwema wakuu. Natafuta mtangazaji wa media yangu ya online. Media inahusu michezo, hivyo nahitaji mtu wa kunisadia kufanya mahojiano na mashabiki, preview za kabla na baada ya mechi, nk Media yangu bado changa, lakini licha ya hivyo nitajitahidi mtangazaji asikose hata hela ya maji😎 Kama ni...
  12. JamiiForums Tanzania Pro. Shemdoe: Michezo kwa Watumishi wa Halmashauri itumike kuimarisha Afya, Mshikamano, tija kiutendaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Prof...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge Wapitisha Sheria Kali Dhidi ya Urekebishaji wa Matokeo ya Michezo

    Bunge la Kitaifa limepitisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Michezo, 2026, unaolenga kukabiliana na visa vya kupanga au kuathiri matokeo ya mashindano ya michezo nchini Kenya. Mswada huo, uliodhaminiwa na Irene Nyakerario Mayaka, unapendekeza kuweka sheria kali dhidi ya vitendo...
  14. JamiiForums Tanzania Mchango wa Serikali Kwenye Michezo: Kwanini Usitambulike?

    Kuna jambo ambalo kwa kweli linanifanya nijiulize kwa nini mtu anaweza kuumia kabisa kusikia hata jina la Rais likitajwa kwenye mchezo wa mpira eti kwa sababu Serikali imepongezwa ? Hapa tunahitaji kutenganisha siasa na uhalisia wa maendeleo ya michezo. Kumtaja Rais katika hafla au mashindano...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga kuokoteza makombo ya Simba ni Ushamba au Upashkuna wa Michezo?

    Klabu ya Yangu 10-8-2026 imemsajili mchezaji wa Simba ambaye hakuna na namba na ameshuka kiwango Sulemani Mwalimu, kwa milioni 150, Nyumba mikocheni na Subaru forester na mshahara wa milioni 15 kwa mwezi kma zilivyopenyezwa za ndani japo hazijadhibitishwa na chanzo huru. Yanga inaonyesha vile...
  16. JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara. Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Naivasha afariki kwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kupoteza Sh40,000 za safari ya wanafunzi kwenye kamari ya michezo

    Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hili la Makamu wa Rais ni michezo tu ya serikali na chama tawala

    Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja. Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku. Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Aggrey kaacha kweli ile michezo yake au kapumzika tu?

    Nilikua nacheck mtandaoni namna shughuli ya 40 ya mtoto wa Wema ilivyokua. Miongoni mwa wageni waalikwa na ambao wametambulishwa kuwa ni wajomba wa mtoto ni huyu mtumishi wa Mungu anaejiita Aggrey. Huyu bwana wakati wa kulishwa keki kuna jambo kalifanya likanipa mawazo kuwa huenda zile tabia...
  20. JamiiForums Tanzania Mieleka ya WWE ni michezo ya kweli au ni movie live?

    Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano halisi, ni tamthilia (movie) inayochezwa live jukwaani! Hapa kuna ukweli wa mchongo huu: 1. Kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…