michezo

  1. A

    KERO Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ifuatilie Premier Bet, ukishinda hawakupi hela yako, wana ku-block

    Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako. Ukiwapigia simu wanakwambia tumeona una accounts zaidi ya moja za Premier Bet ilihali sina na pesa...
  2. a sinner saved by Christ

    Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

    Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote...
  3. machafuko jr

    KERO Hivi inakuaje maji hayatoki na bili ipo pale pale. DAWASA acheni michezo

    Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
  4. M

    Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  5. MamaSamia2025

    Simbu na wanariadha wenzako fanyeni jambo kwa ajili ya uwanja wa michezo wa sekondari ya Ilboru

    Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule umekuwa na uungwana wa ajabu. Mimi ninaandika huu uzi wa kuwahamasisha kufanya jambo la muhimu. Kwa...
  6. O

    Miendo ya kijeshi kama kwata/gwaride, marching, au michezo ya kikosi (drills) inasaidia nini kivita, kikazi zaidi Kwa wanajeshi na askari?

    Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno. Afande tujifunze. https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
  7. lugoda12

    Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

    Hivi game ya tarehe 1 march 2026 Yanga na Simba uawanja wa Aman Zanzibar unafikiri au unahisi nani anaenda kuibuka mahindi siku hiyo? 🙆🏾‍♂️
  8. Q

    Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  9. A

    KERO betPawa wanafanya michezo michafu ya kutotoa fedha kwa Wateja wao

    Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika. Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya...
  10. P

    Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

    Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
  11. R

    Anatafuta AMANI , refuge kwenye michezo

    Nasikia walikuwa Ikulu jana wanamichezo. Anakusanya 'hooligans" because these so called michezo eg football are rooted in hooliganism ( refer to football hooliganism ). Anawagawia bibahasha vya laana
  12. Fbn

    Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  13. Mchochezi

    Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

    Habari wakuu.. Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa. Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  15. President of China

    The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  16. M

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds, Master Tindwa aliyepigwa risasi azikwa leo (Novemba 3, 2025)

    Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili. Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi. Leo mwili wake umepumzishwa katika “nyumba yake ya milele”. Aliwahi kufanya kazi Radio One na ITV Pumzika salama ndugu yetu...
  17. Damaso

    GE2025 KNOCKOUT YA MAMA: Michezo, Siasa au Rushwa kwa Jina la Zawadi?

    Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
  18. Analogia Malenga

    Uuzaji wa viwanja kwa mfumo wa TAUSI ni kama kuna michezo hivi

    Mfumo wa TAUSI ambao unanunua viwanja moja kwa moja serikalini una uzuri na ubaya wake. Ni mara ya pili sasa najaribu kununua viwanja ambavyo vimeandikwa viko manispaa ya Kinondoni na navikosa. Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa tano kama sio wa nne mwaka huu ambako vilitangazwa viwanja Mabwepande...
  19. mcTobby

    Hivi mtanzania anaweza kwenda China na kuwekeza kwenye michezo ya kamari kama za Madubwi.

    Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
  20. Crocodiletooth

    Ni furaha kubwa,hakika michezo huunganisha watu,wakenya wapo njiani kuishangilia morocco!

    Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti, Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
Back
Top Bottom