Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo.
Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata...