michango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwege2030

    Uchanganuzi wa michango ya mwanamke kwenye uchumi katika utafiti wa 2025

    Womenomics Tanzania 2025. ~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi. Takwimu Muhimu (2025) 80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi. 54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake. Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa...
  2. W

    Sakata la Michango Shuleni: Matamko ya Viongozi hayatoshi, tunakwepa Mzizi wa Tatizo

    Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
  3. Troll JF

    Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa...
  4. ERTUGRUL BEY

    Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  5. stakehigh

    Waliokua wanahoji michango ya chadema walikua sahihi, leo msibani vurugu zimezuka

    https://x.com/_zack255/status/2013876086342373410?s=20
  6. Fbn

    Michango iliyofanywa na CCM kabla ya uchaguzi ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi na mauaji

    Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98. Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
  7. Damaso

    Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
  8. Lord Denning

    GE2025 Ethiopia, Bwawa la Umeme kubwa zaidi kwa fedha za ndani na michango huku CCM wakichangisha Bil.86 kwa ajili ya Kampeni alafu tuunanuna Umeme Ethiopia

    Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora. Hayo yakifanyika, hapa...
  9. Mlume Ndago

    DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  10. S

    Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    Sijui niandike mara ngapi ila ujue hizi team hazijawahi na hazitawahi kumilikiwa na mtu binafsi

    Hao watu unaoambiwa wanamiliki sijui 51% ni stori tu za kulisha raia, ndiyo maana hata mwekezaji anawekeza kimachale tu. Ule upande mwingine DSM si mnamjua ni nani? na kwa kuwa kule rangi ni zao kule wanajiachia zaidi. Ila jua tu huwezi kuzimiliki hizi team, mifumo imewekwa hivyo. Kwa hiyo...
  12. bro alex

    Kwa niliyoyaona michango kwa CCM, wazalendo uchwara wenzangu zingatieni hili

    Hizi ni pesa, na mjini hakuna kitu cha bure. Wale waliotoa pesa wanajua zitawarudia vipi Ukitendewa ubaya na tajiri wa mjini—iwe ni kukanyagwa, kudhulumiwa mali zako, au kupigwa bila sababu maskini ni heri ukimbie tu. La sivyo, unaweza kupigwa risasi bure na hakuna kesi itakayofunguliwa Hebu...
  13. A

    KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

    Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani. Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya...
  14. Fbn

    Kero ya Kutegemea Michango kwa Harusi au Tafrija

    Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii, hali imebadilika na kuwa kero kubwa kwa watu wengi. Leo hii, mtu anapotangaza kufunga ndoa, mara moja...
  15. Knock life

    Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
  16. V

    Gawio na michango ya Mashirika: Tuwe makini tusishushe ufanisi

    Nyakati ambazo misaada kutoka nje inasua-sua na huenda ikazimika kabisa huko tuendako, kilichofanyika leo kinapaswa kupewa uzito zaidi na kutumika vizuri zaidi ili hatimaye kisaidie kama moja kati ya mbinu zitakazo tuwezesha kuondoa kabisa utegemezi wa kibajeti kwenye uchumi wa Taifa letu. Ni...
  17. Paspii0

    Changamoto ya Michango ya Harusi

    Michango ya harusi imekuwa mzigo kwa familia na wachangiaji. Ingawa ni desturi ya kijamii kutoa michango katika matukio haya, ni naona lazima kutafakari kama michango hii inasaidia kweli familia au inawaongezea mzigo wa kifedha. Badala ya kuendelea na utaratibu wa kuchangia harusi na misiba, ni...
  18. Mnyuke Jr

    Niliacha kazi bila kupata termination letter napataje Mafao ya michango ya NSSF?

    Naomba niende kwenye swali moja kwa moja, Mtu alikuwa ni mwanachama wa uchangiaji katika mfuko wa Nssf na alikuwa ameajiriwa katika sekta binafsi na katika kazi ambayo ni non-skilled labor or non-proffesional job Na ana michango yake ya zaidi ya miezi 20,ila kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake...
  19. K

    Michango ya harusi too much

    Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia. Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup...
  20. Mr Why

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
Back
Top Bottom