miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  2. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini Nyerere alisema wanafunzi waanze shule na miaka saba?

    Zamani kabla ya kubadilishwa kwa sheria wanafunzi walikuwa wanaanza shule wakiwa na miaka 5 kama ilivyo sehemu nyingi duniani. Lakini Nyerere mjamaa alikuwa anahitaji sana wafanyakazi. Akaona wanafunzi wanaoanza shule na miaka mitano wanamaliza darasa la saba wakiwa wadogo sana kuweza...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi walia na ujenzi wa Daraja Kijiji cha Komdudu (Tanga), wadai wanateseka kwa muda wa miaka miwili

    Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika. Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga ilifungwa magoli 19 katika mechi 6 iliposhiriki makundi mara ya mwisho miaka 25 iliyopita

    Jedwali linajieleza, sihitaji kupotezea watu muda kwa maneno mengi:
  5. JamiiForums Tanzania CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

    Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopagawishwa na mjane wa miaka 40 nikiwa na miaka 25

    Nilikuwa Chuo mwaka wa Pili, mtaani nilikutana na mama muuza uji. Alikuwa ni Mnyarwanda anaitwa Linah, kwa ujumla alikuwa mrembo sana(black beautiful, hips kubwa, tako laini na kimo chake ni Kama futi tano na nusu, macho yake yalikuwa kama ya mdoli/katuni wa kwenye TV. nilikunywa kikombe...
  9. JamiiForums Tanzania Hongereni kwa Kuitafuta Furaha ya Makundi CAFCL kwa Miaka 25, ila msidanganyane kuwa huku ni Kwepesi kama mlikokubahatisha CAFCC Final

    Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara. Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa...
  10. JamiiForums Tanzania Tumebakiwa na miaka michache tu tukutane na wenzetu nje ya dunia

    Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia. Wanasayansi wengi wanaamini kuwa zipo dalili nyingi zaidi sasa kuwa binadamu hatuko peke yetu kwenye ulimwengu wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nitamshawishi vipi mwanangu ili aamini kwamba Rigobert Song anamzidi Samuel Eto'o miaka 5 tu?

    Rigobert Song amezaliwa 1976 wakati ambapo Samuel Eto'o amezaliwa 1981. Swali: Mbali ya umri, uzee unasababishwa na kitu gani kingine??
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa...
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika, Septemba 29, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=t1t5uPkjYIw Mkutano wa Uhuru wa Mtandao wa Afrika mwaka 2023 (Forum for Internet Freedom in Africa 2023 – FIFAfrica23) unaoashiria muongo mmoja wa mkusanyiko mkubwa zaidi kuhusu uhuru wa mtandao barani Afrika, unaendelea leo tarehe 29 Septemba ikiwa ni siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana na afya: Tufike miaka 90+

    Babu yangu is now 90+, alipataga stroke lakini aliwahiwa ikapona kabisa sahiv anakata majani analisha ng'ombe zake mzima kabisa. Kwasababu ya umri tu, masikio yana shida lakn ukiongea kwa sauti anakusikia na stori zinaendelea vizuri tu... Nikamuuliza babu Zaman mliishije (chakula) akasema...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
  16. JamiiForums Tanzania Zoleka Mandela, Mjukuu wa Nelson Mandela afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 43

    Zoleka Mandela: Nelson Mandela's granddaughter dies in South Africa at 43 Zoleka Mandela, granddaughter of South Africa's first democratically elected President Nelson Mandela, has died of cancer at the age of 43. She passed away on Monday evening surrounded by friends and family, a...
  17. JamiiForums Tanzania Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

    Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele. Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge aina ya Mr UK inauzwa Arusha

    Fridge aina ya Mr UK linauzwa hapa Arusha, bei chee, lina warranty ya miaka miwili Kwa mawasilino zaid 0786 998 436
  20. JamiiForums Tanzania Serikalini dokezo linasainiwa kwa miaka mitatu

    Mkuu wa kitengo anapelekewa dokezo 2020 anakuja kulisaini 2023. Hii nchi CCM mnatufikisha mahala pa ajabu sana. Hawa watu kwanini mnawaacha Ofisini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…