miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bongo legendary music festival ya 2022 : Ukurasa unaosahauliwa katika mjadala wa bongo fleva honours na miaka 30 ya bongo flava

    BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022 : UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Flava inavyoendelea, ni muhimu pia kuikumbuka historia ya matukio yaliyotangulia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa Kwa miaka ya sasa ni tamthilia pana sana, M/Mungu labda akusimamie tu kwenye hiyo sector

    Vitaa Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana Ila ndoa ni tamu sana ukipata partner wako ambaye mmekubaliana hata kama hamna pesa nyingi kiasi hicho ila...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume kwenye kurudisha fadhila wako vizuri

    MEN ARE SIMPLE, unamsaidia leo 50k baada ya miaka kumi unashangaa anakupigia simu akulipe fadhira karibia mara 50 yake, unamwambia NO ila ana insist.
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kuhisi raha kamili ya sex anapofikisha miaka 28

    Njoo ubishe Kwa mwanaume akisha balehe tu utamu unaanza hapo Ila Kwa mwanamke anaanza kuhisi raha halisi ya sex pale anapofikisha miaka 28, ndio maana ukimpata mwanamke mwenye miaka hiyo na ukamkoleza sex sawa sawa ndio anakuganda na anaacha kuangaika na wanaume tofauti tofauti Kinyume...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare North: Barabara imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe, vumbi na sehemu zilizochimbika...
  7. O

    JamiiForums Kenya Mathare North: Barabara Imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Mathare North, Ruaraka – Nairobi: Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe...
  8. JamiiForums Tanzania Makosa ya Umri wa Miaka 20

    Ni kosa gani la kifedha au kimaisha ulilofanya ukiwa kijana ambalo unatamani ungeliepuka?
  9. JamiiForums Tanzania Harakati za kufikisha umri wa miaka 100

    Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto. Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM imefika mwisho, ndani ya miaka minne itaondoka,ikiondoka hairudi Tena

    Kwa Nini CCM imefika mwisho. Haitavuka 2030. Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania. Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu. Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

    Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Doyo: RC na DC wanapewa gari la Milioni 200 wanaenda wapi?, Miaka 52 tangu nizaliwe sijaona maji Handeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe. Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila rais (Auto Pilot State)

    Tanzania tumeweka rekodi ya kipekee sana. Takribani miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila ya kuwa na rais wa nchi. Miaka hii mitano kila mtu sasa kawa msemaji, hatuna yule kiongozi mkuu wa nchi kutuongoza nchi imekuwa kama Auto pilot state.
  17. JamiiForums Tanzania Kama una mtoto chini ya miaka 18 sikilizeni hapa ndio nchi inapoelekea

    Kama ujawahi kufika nchi za watu uwezi kufahamu. Hapa kwetu tunekarabisha wasiojulikana ambao ni serikali. Kwa nchi za wenzetu utekaji wa watoto ni mkubwa sana.Wengi uchukuliwa kwenda kuuzwa kutumikishwa kingono,uuzaji wa viungo na n.k. Ukiangalia wenzetu walivyo makini na watoto wao sio...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je hili ni Tatizo? nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa

    Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya ugonjwa wangu ni mafua na home tu na baada ya siku 3 au 4 nimepona pia nikiwa na kidonda baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nimebaki na mshangao na kisichana cha miaka 16

    Habari Umri wangu 33 ni babu kabisa katika mikakati ya ujana , ujana unaishia wallah Sasa katika hali sio ya kawaida nakatiza Kona mitaa ya kinondoni napokea salamu Kwa sauti nyororo na raini ikinisalimia " mambo" aisee nilibaki nashangaa na bila kuitikia mpaka yule msichana anakata Kona na...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Ningejua mapema ningeoa

    Habari Wana JF Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja. Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…