miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Tujikumbushe: Udaku wa JF, Miaka 10 iliyopita.

    Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa. Leo kwa msaada wa AI chatgpt. Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani. Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe, TANMO , uran na Mentor na Baba V. Pitia baadhi ya Nakala za udaku hapa...
  2. Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  3. Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  4. Ni miaka mingi hawa watu humu ndani wamepotea au kuzimika

    Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu yangu!?
  5. Miaka inavyozidi kwenda na mambo ya ndoa yana potea kabisa

    Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli. Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti. Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao. Kwa sasa kama mnataka...
  6. Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

    Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni. Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu. Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
  7. Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
  8. Wanafunzi Kitongoji cha Iyozu (Chato) wanatumia mitumbwi kwenda Shule, wakishuka wanatembea Kilometa 4, hali hiyo imedumu kwa Miaka 10

    Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye Kijiji cha Rubambangwe. Inaelezwa...
  9. R

    Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  10. Mtimishi wa Ikulu anapofariki na miaka 66 akiwa kazini, je wenzetu hawastaafu?

    Hivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu? Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66 Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio Sheria za kisiwa hicho zikoje? Namuongelea chaz Al hilal mkurugenzi wa mawasiliano ikulu zanzibar
  11. Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  12. Try Again atuliza taharuki kuhusu Mpanzu, adai Mpanzu ni mali halali ya Simba na alisaini Miaka Miwili ofisini kwake

    Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo. "Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
  13. Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

    Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
  14. K

    KERO Responded Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa?

    Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi ilifanyika katika eneo la Imalilo, eneo ambalo lilichaguliwa kituo kijengwe ni nje...
  15. MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

    Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi. Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
  16. Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

    Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia...
  17. Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  18. Tumechakatana kwa miaka miwili mfululizo kumbe hajui hataJina langu,nimechukua uamuzi wa kumuacha

    Usioe wala kuzaa na mwanamke kilaza... Miaka miwili concecutively sijui concurently mnachakatana kwa wiki mara tatu mpaka nne Wiki hii ndio nikagundua kuwa hajui jina langu Hiyo imekuwa sababu tosha ya kumpiga chini,huo ni ukilaza pro max Na hapo namtumia miamala mara kwa mara
  19. S

    Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  20. Je, ni kweli tovuti ya Millard Ayo (millardayo.com) haijalipiwa ada ya internet kwa miaka mitano ilopita?

    Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years. It will be back online once this is resolved! Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…