miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 10 ndani ya JF

    Mwezi wa pili mwaka huu, nimetimiza miaka 10 ya kuwepo ndani ya mtandao huu pendwa wa JamiiForums. Inawezekana ikawa ni miaka michache kwa wengine ila kwangu mimi ni miaka ya kutosha sana. Nimejifunza mengi sana ndani ya mtandao huu, mungu andelee kumbariki Maxence Melo kwani bila yeye pengine...
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania US: Mtoto wa miaka miwili amuua baba yake kwa kumtwanga risasi

    Inaweza kuonekana kama utani lakini hii imetokea juzi tu mtoto wa miaka miwili alimuua baba yake kwa kumfyatulia risasi kwa bahati mbaya Kuna madai kuwa baba na mama wa mtoto huyo walikuwa wametoka gerezani kwa parore siku si nyingi kwa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya hali inayoshangaza...
  4. JamiiForums Tanzania Valencia yamtangaza Gennaro Gattuso kuwa kocha wao mpya

    Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa Valencia na kusaini mkataba wa miaka miwili Kiungo wa zamani wa AC Milan mwenye umri wa miaka 44 amekuwa hana timu tangu Mei 2021 alipoondoka Napoli baada ya kuiongoza kushinda taji la Coppa Italia Mwaka jana alitajwa kupewa nafasi ya kuifundisha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Mfumo wa vyama vingi vya Siasa; Je, viendelee kupewa ruzuku au Vilazimishwe kujitegemea?

    Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara. Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya BOOST ya miaka mitano yenye thamani ya Trilioni 1

    Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya miaka mitano yenye thamani zaidi ya shilingi Trioni moja,lengo kuu ikiwa ni kuhimarisha ufundishaji na ujifunzaji (BOOST)katika shule za awali na msingi. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo Juni 6,jijini Arusha, Waziri...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi. Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
  8. JamiiForums Tanzania Wanasema hakuna umri katika mapenzi lakini miaka ikipishana sana mtakutana na changamoto nyingi

    Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

    Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama. Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link hapa chini...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

    Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
  11. JamiiForums Tanzania Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Real Madrid ana umri wa miaka 19 na mwanae wa miaka 8

    Ina maana mchezaji huyu alipata mtoto akiwa na miaka 11
  13. R

    JamiiForums Tanzania Itengenezwe Sheria ya kuruhusu kuweza kuchukua Mafao kila baada ya Miaka 10, itasaidia sana

    Habari wana JF, Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka? Sababu: 1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini 2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster 3. Sio...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Vichungi vya sigara vinatumia hadi miaka mitano kuoza

    Vichungi vya sigara (vitako) ni kati ya vitu vyenye uchafuzi na sumu vinavyopatikana katika vyanzo vya maji, pia inachukua hadi miaka mitano kuoza vikitupwa ardhini, hiyo kuruhusu nikotini na kemikali kuingia kwenye mifumo ya ikolojia inayozunguka ambayo inaathiri maisha ya binadamu. Utafiti wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Sudan: Kondoo ahukumiwa miaka mitatu gerezani kwa kuua mtu

    Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45. Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa...
  17. JamiiForums Tanzania ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

    Benny Andersson, 75, Agnetha Fältskog, 72, Anni-Frid Lyngstad, 76, and Björn Ulvaeus, 77, pulled out all the stops as they posed on the red carpet at the glitzy launch event, where they prepared to watch their digital avatars take to the stage. Pictured in 1974
  18. B

    JamiiForums Tanzania Lini yanga watalipa goli 5-0 waliofungwa na simba 1977 miaka 45 nyuma?

    Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao...
  19. JamiiForums Tanzania Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

    Picha hii imepigwa katika uzinduzi wa filamu mpya wa Elvis Presley huko Cannes 25/05/2022. Elvis na Pricilla walifunga ndoa mwaka 1967
  20. JamiiForums Tanzania Afanya kazi miaka 84 (tangu 1938) katika kampuni moja

    Kutana na Walter mpaka Guinness world record wamemtambua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…