Nipo nje ya ofisi kidogo Napata muda wakutafakari. Lakini niko nje ya nchi kabisa, kilomita elf 4 toka Dar es salaam, hata simu nazopata ni chache, zile zilizopitia whatsapp tu. Hivyo akili inazidi kuwa tulivu. Na ukiongeza miji yenyewe nilotembelea si ya makelele na miziki mabarabarani wala...