Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanasema hawatarusha ndege kufuatia mizozo ya muda mrefu kati ya muungano wao na usimamizi wa shirika hilo.
Marubani hao walidai kuwa madai yao mengi hayajatatuliwa, na hivyo wanaamua kuchukua uamuzi huo.
Kwa mujibu wa notisi yao watagoma ndani ya...
Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36.
Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari wa Uganda amedai wafanyakazi wa afya wapo sahihi kutoka huduma maeneo yaliyoathirika kwa madai...
Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei
Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
Nawasalimu! Tarehe 25/7/2022 nikiwa mizungukoni nilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani wakaniomba leseni nikatoa kisha wakaikagua gari na kubaini sina dosari kisha nikaruhusiwa kuendelea na safari zangu.
Kesho yake tarehe 26/7/2022 nikiwa na familia yangu yaani mke na watoto wawili...
Habari za asubuhi wote mlio hai humu!!!
Jana nikiwa natoka kazini nikawa natembea kwa mguu kutoka maeneo ya Posta kwenda kupanda treni kulekea Pugu kwa kutumia treni ya TAZARA (ndio zangu daily) ghafla ubongo wangu ukanasa aina mpya ya wazo, akili ikaniambia hebu angalia wapita njia na walio...
Umoja wa Wauguzi na Wakunga wa Uganda (UNMU) umetangaza kuanza mgomo kuanzia leo Mei 26, 2022 kutokana na malipo duni, ikiwa na maana wanaungana na wataalam wa afya wengine walioanzisha mgomo tangu Mei 16, 2022.
Rais wa UNMU, Justus Cherop Kiplangat amesema amefikia maamuzi hayo kutokana na...
Vyama vya wafanyakazi Nchini humo vimefanya mgomo vikitaka Rais Gotabaya Rajapaksa pamoja na Serikali kujiuzulu. Mgomo huo umesababisha Shule na Biashara kufungwa, pia umeathiri usafiri
Mgomo huo umefanyika wakati maelfu ya wananchi wakiendelea kuandamana kwa siku ya 20 wakitaka Rais Rajapaksa...
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa...
Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE
Mkoani Arusha.
Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Wakuu Kwema!
Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu.
Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu.
Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana.
Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo...
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.
Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
Wamiliki wa mabasi wasitisha mgomo ulioitishwa baada ya makubaliano na LATRA pamoja na TRA kuwa mazuri.
Abiria wa Mwanza na Mbeya walichelewa baada ya wamiliki wa mabasi kuitikia wito wa mgomo ulioitishwa kuanzia leo.
Chanzo: ITV
Pia soma: Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri,
Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291,
Nukushi: 26232332 41101 DODOMA,
BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA.
Tovuti: www.pccb.go.tz
Unapojibu tafadhalitaja:
TAARIFA KWA UMMA...
Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
====
Dar es Salaam. Wamiliki wa...
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.
Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...