mgomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  2. Roving Journalist

    Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  3. upupu255

    POTOSHI Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya, je ni picha ya kweli?

    Nimeona Tanzania Abroad huko X ameweka picha hii na kusema ni "Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya!! Hiki kizazi bado kipo kumbe nilidhan ni mayai mayai sana Shule zirejeshe watu wenye ujasiri" JamiiCheck vipi kuna ukweli hapa?
  4. The Burning Spear

    Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

    GT Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
  5. W

    Ila madem wa Bongo si muweke mgomo msiwape Uroda hawa Machawa labda itasaidia

    Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko. Au mnasemaje wakuu?
  6. D

    Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  7. K

    Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  8. S

    TikTok inakabiliwa na mgomo kwasababu ya AI

    TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
  9. JanguKamaJangu

    wafanyakazi Wanaobeba mizigo Bandari ya Bukoba wafanya mgomo wakidai malipo yao

    Wafanyakazi wa kubeba mizigo katika Bandari ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kufanya kazi wakilalamikia kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu, hali ambayo imeathiri maisha yao ya kila siku. Chanzo: Azam TV Pia soma ~ RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na...
  10. The Supreme Conqueror

    5Imba mnajifanya mna mgomo wa kutocheza tarehe 25 June, kumbuka hata Ikulu hatuwaita kwa kucheza fainali Shirikisho

    Naona simba wameanza kunenepa kwa kumfunga Kengold leo ila wakumbuke June 25 lazima amalize ligi na Yanga,Na akijichetua haitwi Ikulu kupongezwa kucheza fainali Shirikisho. GENTAMYCINE Mshana Jr
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

    Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa...
  12. Mwanongwa

    Mbeya: Baada ya mgomo wa daladala kutolipa ushuru, hatimaye Stendi ya Nanenane yaanza kurekebishwa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo. Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara. Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
  13. ngara23

    Mgomo wa walimu hautakoma, tunaua watoto wetu

    Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali 1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu Yaani walimu ikifika saa 4...
  14. D

    Naomba kuuliza hivi Azam kuna mgomo?

    Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
  15. Roving Journalist

    Wafanyakazi wa SGR (Lot 1) wafanya mgomo, washinikiza Mkandarasi awalipe stahiki zao ikiwemo NSSF

    Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti Pia soma ~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF ~ Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa...
  16. BARD AI

    Mafinga: Mgomo wa Wafanyabiashara waingia siku ya 4, RC Serukamba asema yeye hana majibu waulizwe waliogoma

    Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara. Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
  17. G

    Kuna mgomo wa daldala Makumbusho?

    Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
  18. Mpigania uhuru wa pili

    Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  19. and 998 others

    Tunashukuru Mgomo Kariakoo umekwisha salama

    Maduka Kariakoo yamefunguliwa wananchi wanachapa KAZI. Asanteni
  20. 2019

    Mgomo umefika Mbagala waathirika ni kila mtu

    Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga. Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga. Madhara kwa wote Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha...
Back
Top Bottom