mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yamkabidhi Fomu Mgombea Urais wa TADEA, Georges Bussungu

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA)...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea chama cha Makini amechukua fomu ya kugombea urais vipaumbele vyake ni elimu, kilimo na Afya

    Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lipumba: 2020 nilifanya kampeni nchi nzima, nikachinjiwa Mbuzi lakini nilipata kura 0

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020 Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

    Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mongella: Uteuzi wa mgombea Urais CCM haukukiuka katiba

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amesema mchakato wa kumteua mgombea wa urais wa Tanzania ulizingatia Katiba ya chama hicho.
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea binafsi ni muhimu sana

    Ifike hatua wananchi tusimame imara tukombea taifa kutoka mikononi mwa fisi mla watu. Hata wana CCM tuungane kwenye nrne kwa sababu kama inadaiwa wagombea wanatumia rushwa je, inawezekanaje aende bungeni akutetee?? Anaenda kurudisha mtaji aliowekeza kwanza hawezi kukubali hasara kwenye...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu mgombea urais na Devotha Minja mgombea mwenza kupitia CHAUMMA

    chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Salum alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kabla ya kuhamia CHAUMMA. Wakuu, Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA...
  9. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Kuna chama kimeahidiwa serikali ya umoja wa kitaifa hapo oktoba 2025 na mgombea wao wa urais wiki ijayo atahamia chama hicho

    Baada ya maji kuzidi kulowana. Kuna chama kimeahidiwa kupewa mawaziri kadhaa na kuundwa Kwa serikali ya UMOJA WA KITAIFA Ili kuonyesha demokrasia ipo na kuizika Rasmi CHADEMA. Baada ya leo mtoto wake kuhamia Chama hicho next week kama SIO Tarehe 10 ya wiki Hii kutakuwa na kung'atuka Kwa mgombea...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo wamteua Luhaga Mpina kama mgombea Urais wa chama hicho

    Wakuu, ACT Wazalendo wana jambo lao leo. Kaa karibu na uzi huu kupata updates mbili tatu https://youtube.com/live/eLJsZyyV4DU?feature=share Hali ilivyo kwenye Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo Agosti 6, 2025, Mliman City Jijini Dar es Salaam, katika Mkutano huo...
  11. mngony

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni hatari kwa mustakabali wa Umoja wa Kitaifa, kwa Mgombea kuandika bango la kuomba kura kwa lugha ya kikabila, Mwl Nyerere asingekubali litokee

    Inasikitisha kuona sasa tunaomba kura kwa lugha za kikabila? Je tunataka wenye kabila letu tu watuchague au kuwaonesha kuwa ni wa nyumbani? Kabila limekuwa kigezo? Hii ni hatari sana, nchu yetu haina ukabila na watu wamechanganyikana. Sasa mimi Mngoni niko Ngara ukitumua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Dar, Mgombea Diwani Rajabu Shabani Manyinya wa Kivule Akitoa Rushwa hadharani. TAKUKURU Kazi kwenu

    TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika. Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam. Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo Hii rushwa yeye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bado sielewi, kama Mgombea hajapita Kura za Maoni inamaanisha hafai, sasa hizi habari ninazosikia eti wanawekwa pembeni kusubiri teuzi ndo nini?

    Wakuu habari, Kuna kitu sikielewi hapa yaani kama Mgombea hajapita kura za maoni ya kumuwezesha awe kiongozi inakuaje tena baadae anakuja kutgeuliwa mkuu wa wilaya au Mkoa kama wajumbe waliona hana vigezo apo awali Maana nimekua nikisikia Mgombea fulani amekatwa ila amewekwa pembeni asubiri...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea aahidi wajumbe akiwa mbunge, wajumbe watafanyia mikutano hoteli yenye kiyoyozi, na atawapeleka Afrika kusini kujifunza kuhusu bima

    Wakati watiania wanane wa ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kibamba wakiendelea kunadi sera zao, ameibuka mtiania Alphonce Temba aliyeahidi kuwapeleka wajumbe Afrika Kusini kwa ajili ya kujifunza masuala ya bima ya kifo. Amesema wataenda kupata elimu ya bima ya kifo itakayosaidia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko atinga mbele za wajumbe kuwashawishi wampitishe kuwa mgombea wa ubunge Tarime mjini

    Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni. Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Baba wa Taifa Mdogo akabidhiwe kumnadi Mgombea wetu

    Jukumu la kumnadi Mgombea apewe Mwanafamilia Baba mdogo wa taifa. Apewe mafungu pamoja na Ndege/helikopta
Back
Top Bottom