mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

    Tuseme tu ukweli. CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi. Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Vyama vya kisiasa vyaa anza uchunguzi kuhusu mgombea urais wa ICT.

    Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama inavyoelezaa kwa mgombea urais vifungu vya sheria 6A(2) na 4(5)b vikieleza sifa za mgombea uraisi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  7. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

    Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’ Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo. Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
  10. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais mwenye watoto 25! Si mchezo

  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenezi Khamis Mbeto: Tunapeleka Mgombea asiyetiliwa shaka Uana-CCM wake

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Zanzibar (CCM), Khamis Mbeto amesema chama hicho kitasimama na mgombea anayekubalika kwa jamii na sio kukubalika na wana CCM tu. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanya vikao vyake muhimu vya Kitaifa jijini Dodoma kuanzia Agosti 21, 2025 ambaopo...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani ajenga kiwanda cha bilioni 14

    Mgombea nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ambaye ameteuliwa na Chama hicho Kata ya Lugelele Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, amejenga kiwanda cha bilioni kumi na nne kitakachoajiri vijana 400 na kusaidia kutatua changamoto ya ajira. Bw. Musa...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CCM watamwandama Mpina kuhakikisha anazuiwa kugombea ili mgombea wao asipate mpinzani yeyote

    Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !! Samia na timu yake sasa wanaweza...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM waandama Ulanga kwa kutoridhia uamuzi wa jina la mgombea nafasi ya Udiwani

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) zaidi ya 50 kutoka kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wameandamana katika Ofisi ya Mkoa ya Chama hicho, kwa madai ya kutoridhia uamzi wa jina la mgombea wa nafasi ya udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni kutorudishwa, wakishinikiza kurudisha...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA adai yeye ni msela na mwaka huu ni mwaka wa masela kukaa Ikulu

    Salum Mwalimu ameonekana mahala akiomba masela wenzake wamchague ili msela mwenzao aingie ikulu na kutatua kero zao. Naona CHAUMMA sasa imegeuka kuwa vituko.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais na Makamu wa Rais kupitia NCCR-Mageuzi wachukua fomu ya uteuzi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais chama cha DP aahidi kufuta kikotoo cha wastaafu akishinda Urais

    Wakuu Ahadi kutoka kwa wagombea zinaendelea kumiminika
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kihongosi aongoza Wananchi wa Arusha kumdhamini mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mgombea Urais aliyepigwa risasi Colombia afariki dunia

    Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Back
Top Bottom