mgahawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Biashara yangu ya mgahawa imenibidi niifunge

    Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali. Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo Ila siku zilivyoenda kama wiki ya...
  2. Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani

    Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani. Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo sehemu kwa sababu chakula chao ni kitamu sana. Kwa kuwa hoteli niliyokuwa nimefikia ilikuwa karibu...
  3. Ni mimi tu huwa sipendezwi na chakula cha mgahawa na Hotelini?

    Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani. Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa nakiona kitamu na kila ladha asili kuliko chakula chochote cha hotelini. Nimeenda kwenye hoteli...
  4. Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  5. Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  6. Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

    Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu. Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya...
  7. Mwenye Mgahawa huu angekuja kuwekeza hapa Tanzania

    Huu mgahawa upo japani ni special kwa wavivu tu
  8. Nilikuwa nauza mgahawa sasa nina hotel mbili

    Kwa hapa nilipo nashukuru, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine. Mume wangu aliponiacha nilipitia hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula, kuwavalisha na huduma nyingi ambazo...
  9. T

    Mipango miji Ilala wamewezaje kuruhusu mgahawa wa kienyeji kujengwa mbele ya Hotel ya Johari Rotana?

    Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo kuna hoteli ya Johari Rotana, kwenye geti la kuingilia kwenye Hotel. Johari Rotana ni 5 stars...
  10. mashine za bakery au hotels na mgahawa pitia hapa

    Hello wana jamvi kwa wale wanaohitaji kuanzisha bakery au Hotel na mgahawa mashine zote unazipata dukani kwetu tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi. Mashine zetu zote zina waranti pia bei zetu ni nafuu sana na wale wa mikoani tunakusaidia namna gani usafirishe mashine yako Mashine zilizopo...
  11. Nahitaji mtu wa kufanya naye ubia, anayejua kupika vyakula mbalimbali vya kiswahili

    Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko. Vijana wanalalamikia...
  12. C

    Tetesi: KFC kufungua mgahawa Katavi

    Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
  13. Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

    Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
  14. Sababu Kubwa kwanini biashara ya mgahawa wa chakula ni bonge moja la idea.

    1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula 2.rahisi kuikuza kwani ubunifu wako ndo utafanya upate wateja mfano mtu anakula pale mezani ila kuna vipeperushi vya menu...
  15. Watu 2 wapigwa risasi Israel ndani ya mgahawa

    Wanaukumbi. WATU 2 WALIPIGA RISASI ISRAEL NDANI YA MGAHAWA Kick Streamer JohnnySomali Alieleza kuwa alishuhudia tukio la kupigwa risasi katika Mkahawa Huko Israel "Mtu alikuja tu kwenye mgahawa na kuanza kumpiga risasi kila mtu. Nilikuwa tu katika shambulio katika mkahawa mmoja huko Jaffa...
  16. Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  17. Mgahawa wa kwanza wenye uwezo kamili wa kujiendesha kwa kutumia Akili Mnemba (AI) wafunguliwa

    Roboti zimefika... huko Pasadena, Kusini mwa California. Mwishoni mwa Desemba 2023, CaliExpress ilifungulia Mgahawa wa kwanza kabisa duniani wenye uwezo kamili wa kujiendesha kwa kutumia AI - Artificial Intelligence (Akili Mnemba). Mteja anatakiwa kutoa oda yake mapema ili kupata huduma ya...
  18. Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  19. R

    Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?

    Wakuu weekend inaendaje? Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali. Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
  20. W

    Baada ya kufuatilia uendaji wa chooni wa huyu dada muuza mgahawa, nimejiapiza sili tena migahawa ya uswahilini

    Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…