mfumuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Mfumuko wa bei

    Habarini wana jamii wenzangu, Tangu muda mrefu kumekuwapo na mjadala mrefu juu ya mfumuko wa bei, hasa kwa bidhaa za chakula. Wachambuzi wengi wamekuwa wakilaani jambo hili, hasa ndugu zetu waishio maeneo ya mjini. Sasa mimi naomba kuelimishwa, kwani kila mfumuko wa bei ni hatari katika...
  2. W

    Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
  3. NBS: Mfumuko wa bei umeshuka kutoka 4.9 hadi 4.8

    TAARIFA KWENYE VYOMBO VYA HABARI FAHIRISI ZA BEI ZA TAIFA KWA MWEZI FEBRUARI, 2023 Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imepewa mamlaka kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Sura 351 ya kutoa, kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji wa Takwimu Rasmi nchini ikiwa ni pamoja na takwimu za Mfumuko...
  4. Hivi Serikali haioni kama Wananchi wanateseka na mfumuko wa Bei, kwanini haiondoi Tozo ili kuwapunguzia mzigo?

    Hivi jamani hii Serikali ya "Anayeupiga mwingi" haitambui kuwa wananchi wanateseka na hali mbaya ya maisha? mbona hatuoni juhudi za makusudi za kuwapunguzia mzigo mzito wa maisha ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama chakula na vifaa vya ujenzi? Badala ya kuwapunguzia wananchi...
  5. Mfumuko mkali wa bei waikumba Rwanda

    Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei. Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi Januari. Maafisa wamesema kwamba hawatarajii mfumuko wa bei kushuka hivi karibuni. Hata hivyo...
  6. J

    Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  7. Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi

    Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi: Kenya 9.0% Rwanda 21.6% Uganda 10.4% Nigeria 21.3% Misri 25.8% Ghana 54.1% Uturuki 64.7% Sudan 88.8% Argentina 94.8% Zimbabwe 244% Tanzania 4.9% Kutokana na takwimu hizi, licha ya ongezeko la mfumuko wa bei, Tanzania bado iko...
  8. M

    CHADEMA yataka maelezo juu ya zuio la Zanzibar la kutouza nje Sukari na Mchele

    Zanzibar wamestuka Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya kina juu ya marufuku hiyo. Kimesema uamuzi huo umefanyika wakati ambao, Serikali ya Mapinduzi ya...
  9. Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
  10. Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mfumuko wa Bei upo, na hauvumiliki

    Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM. Nilidhani kwenye hotuba yake ataainisha mikakati ya serikali kudhibiti mfumuko na kuboresha ugumu wa maisha unaowakabili...
  11. J

    Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
  12. Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  13. Ukweli ni kwamba mkulima kijijini anaumia zaidi na Mfumuko wa Bei, tofauti na tunavyoaminishwa

    Watanzania wenzangu ifike mahali tuwe tunafuatilia mambo Kwa kina na tusiwe benderea fuata upepo. Leo hii kuna mfumuko wa bei ya vyakula tunaambiwa mkulima anafaidi. Nasema hivi huu ni uongo Kwa asilimia 100. Mchana kweupe. Mara zote wakulima huuza mazao Yao kipindi cha mavuno kipindi bei iko...
  14. T

    Tetesi: Yupo Waziri au Mawaziri wanataka kulipeleka Taifa kwenye mfumuko wa bei

    Wana jicho latatu someni mnielewe.... Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo? Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama...
  15. Bashe umefeli juu ya suala la chakula

    Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
  16. K

    Baada ya Covid mfumuko wa bei ni janga la Dunia tusilaumu serikali pekee

    Dunia ya sasa ni kutegemeana kuanzia bei ya mafuta, mbolea, vitu kutoka china, magari, teknologia na vipuli. Hivyo tusishangae bei ya vitu Tanzania kuwa juu. Bank kuu pamoja na wizara ya fedha wajitahidi lakini tusiweke lawama zote kwa serikali kwenye hili kwa sasa. Hata tungekuwa na malaika...
  17. Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

    OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
  18. Dkt. Chuwa: Hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
  19. Katika historia Italy hawajawahi kukutana na mfumuko wa bei kama huu kutokana vikwazo vya Russia

    Inflation in Italy highest since 1984 Consumer price growth was led by soaring energy and food costs, official data shows © Getty Images / Karl Weatherly Italy’s domestic price index jumped 11.8% in October from a year earlier, the highest since March 1984, official statistics agency ISTAT...
  20. Mfumuko wa bei ni utekelezaji wa ilani ya CCM?

    Shaka anazungumza kwa uwazi kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa ameifungua nchi. Anazunguka duniani kuipaisha Tanzania. Ziara za Rais zimetuzawadia deni la Taifa kufikia Trillion 71+ mpaka sasa. Shaka anataja mafanikio mengi yatokanayo na utekelezwaji wa ilani ya CCM. Sasa hivi bidhaa muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…