mfumuko wa bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  2. Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  3. Kuhusu Mfumuko wa Bei, Viongozi wachunge kauli

    "Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi. Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha utafute suluhisho lake. Pia nukuu hii inaonyesha kuwa huwezi kutatua tatizo kwa kulificha...
  4. T

    Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  5. N

    Nini kifanyike kupunguza mfumuko wa bei?

    Hello Wanajukwaa wa JamiiForums hivi karibuni tumeshuhudia bidhaa zote muhimu zikipanda bei kwa kushtukiza yaani imekuwa kama surprise ya kila siku. Bidhaa kama mikate, mafuta- unga- yaaani hata sabuni jamaaani nazo eti zimepanda aisee. So nawaomba hawa wanaojiita wanaharakati na wazalendo kama...
  6. KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

    Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/= Unga wa ngano 25kg ni 44000/= Sabuni takasa box moja ni 17000/= Sukari 25kg ni 63000/= Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee...
  7. J

    Waziri Mwigulu: Mfumuko wa bei hausababishwi na Sera wala Uzembe. Fedha ya COVID 19 imeongeza mzunguko Vijijini na Deni la taifa ni himilivu

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba amesema mfumuko wa bei unaolalamikiwa hausababishwi na sera zetu wala uzembe. Kadhalika, fedha ya mkopo wa COVID 19 kutoka IMF imesaidia kuongeza mzunguko wa fedha mitaani na hasa katika maeneo yote ya vijijini ambako fedha hizi bado zinazunguka. Naye Katibu...
  8. Mfumuko wa bei Marekani waweka rekodi mpya toka mwaka 1982, Tanzania tunajiaandae?

    Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine yanayowekewa vikwazo, Urusi ni namba mbili kwa uzalishaji wa nishati duniani huku mteja wake mkubwa...
  9. Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  10. Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  11. Mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi wapangaji mtarajie mabadiliko pia

    Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000. kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆 alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,. kwa mfumuko...
  12. J

    Huu mfumuko wa bei unasababishwa na nini?

    Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka. Chanzo cha hali hii ni nini? Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni? Maendeleo hayana vyama.
  13. Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
  14. S

    Kwa mwendo huu, mpaka kufika 2025, mfumuko wa bei unaweza kuwa haushikiki na unaweza kuigharimu vibaya CCM

    Bei ya nyama kwenye mji wa Mtwara manispaa ya Mtwara/Mikindani imepanda ghafla kutoka shilingi 8,000 kwa kilo ya nyama mchanganyiko hadi shilingi 9,000, nyama ya steki toka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa kilo moja.
  15. B

    Mfumuko wa Bei ni tatizo la kidunia 2021 na kuendelea 2022. Haliepukiki

    Malalamiko ya mfumoko wa bei yamekuwa makubwa. Kuanzia bei ya chakula, vipuri, mafuta, vifaa vya ujenzi nk. Hii ni hali halisi sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania. Takwimu zinazotolewa na TBS zinaonesha kuwapo na ongezeko la bei za vitu mbalimbali. Hali hii ipo pia nchi nyingine kama...
  16. J

    Serikali yatoa siku 3 FCC itoe ripoti kwanini bei za Soda zimepanda, pia imetoa siku 7 ijulishwe kwanini Vifaa vya Ujenzi vimepanda Bei

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei. Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Soda na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika...
  17. 5

    Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

    Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana. 1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/= 2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya...
  18. Waziri Nchemba umeshindwa kumsaidia Rais kwenye mfumko wa bei

    Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote. Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
  19. Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei. Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote. Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
  20. I

    Kukopa sana na mfumuko wa bei vina uhusiano gani?

    Haya maisha kadri mtu mmoja anavyozidi kukopa huko nje na kuleta pesa hizo humu ndani kumekuwa na mfumuko wa bei katika bidhaa nyingi sana. Yaani kila bidhaa masokoni madukani na popote bei imezidi kupanda kila wakati hadi kusababisha wananchi kuwa na maisha magumu kila kukicha. Hadi najiuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…