Huu mfumuko wa bei unasababishwa na nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,914
141,864
Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka.

Chanzo cha hali hii ni nini?

Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni?

Maendeleo hayana vyama.
 
Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka.

Chanzo cha hali hii ni nini?

Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni?!!

Maendeleo hayana vyama.
Mfumuko wa bei umesababishwa na CHADEMA,

maana tuliamua kuchagua wenyeviti wa mitaa,madiwani na Wabunge Nchi nzima wa chama kimmoja,

sababu CHADEMA walituchelewesha Sana kupata maendeleo.
 
Kwa kifupi kabisa, ukiongeza fedha kwenye mzunguko na ukapunguza viwango vya riba basi kunakuwa na mfumuko wa bei.

Sio kila mfumuko wa bei ni mbaya kwa uchumi, ni mbaya tu pale kunapokuwa na mfumuko wa bei na watu wakashindwa kununua bidhaa hasa za muhimu!
Ila kwa ujumla, ukitaka kukuza uchumi, mfumuko wa bei hauepukiki!
Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka.

Chanzo cha hali hii ni nini?

Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni?!!

Maendeleo hayana vyama.
 
Nikiangalia shilingi, naona ipo vile vile na kama tofauti ipo basi ni ndogo sana...

Kama ndivyo, jiulize kilichopo ni Cost-Push Inflation inayosababishwa na kupanda kwa gharama za uzalishaji au ni Demand-Pull Inflation inayosababishwa na kuongezeka kwa demand ya bidhaa?!

Hata kama ukusanyaji data ni muhimu lakini sidhani kama hapo napo nalazimika kuingia field kufanya research kama ni Cost-Push or Demand-Pull Inflation coz' dalili zote zinaonesha ni Cost-Push Inflation, ambayo si kwamba inatokana na factors zingine kama vile kuongezeka kwa mishahara as w ell as other fiscal policies, bali:-

1. Bei ya mafuta soko la dunia imepanda,
2. Tukaongeza tozo kwenye bei ya mafuta ambayo tayari yamepanda!

Matokeo yake: Bei ya Juu ya Mafuta Soko la Dunia + Tozo za Juu kwenye Mafuta nchini = Bei ya Juu ya Mafuta Nchini!!

Kila mmoja anafahamu mafuta ni nini katika uzalishaji!! Sasa kama uzalishaji wetu unategemea mafuta, ina maana automatically Gharama za Uzalishaji Zitapanda... tunarudi hapo juu kwenye Cost Push Inflation!
 
Back
Top Bottom