Nashauri chama changu cha CHADEMA waje na mfumo wa Primaries, kwenye Uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama 2025. Tena mchakato uanze 2024. Kama wanavyofanya Marekani, hii itaongeza demokrasia kwenye chama na pia wagombea kujitangaza kwa uwazi.
Kura zitapigwa kimkoa au kikanda kulingana na...