Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro..
Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima...
Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga...
Habari wakuu.
Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana.
Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora...
Awe msichana
Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara
Atapewa smartphone
Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata ndo ataanza kulipwa
Biashara ipo Nyasaka
Jinsia: Kike
Uzoefu: Mwaka 1
Vigezo: 1.Awe anajua kutumia computer na kutumia application zote muhimu za Microsoft Office kwa ajili ya huduma za Stationery
2. Kufanya application zote muhimu katika tovuti za serikali na zinginezo
4. Awe anajua kutumia mashine na vifaa vya stationery
3. Awe...
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea.
Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea
Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa)
Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini)
Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
Habari wakuu,
Nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam
Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana.
Number ya mawasiliano - 0767836872.
Asante.
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
Watu wanaoomba kazi kwa sasa ni wengi mno ila bado waajiri wana changamoto ya kupata wafanyakazi watakaoenda sawa na maono ya kampuni zao. Ni ngumu kupata kijana mchapakazi, mwaminifu na makini kuendana na biashara. Unaweza pata mchapakazi na smart ila akawa na hitilafu kwenye uaminifu. Au...
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
Mfanyakazi ana uhakika kesho nitapata anatumia yote, mfanyabiashara kisa senti kwake inatoka kwa hesabu ili asiue mtaji.
Mfanyabiashara huwaza zaidi kuzidi kuwekeza mfanyakazi huwa zaidi kutumia.
Wengi wanakupenda ukiwa “useful but controllable”.
Ukiwa na mawazo mapya, wanakuona mjanja sana umewazidi akili, unakuwa threat kwao.
Ukiwa na ndoto kubwa, wanahofia utawazidi
Ukijenga jina lako, wanahisi unataka kuondoka pamoja na wateja wao
Hata ujidundulize ununue kagari, ujenge, n.k...
Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara
Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40.
Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi...
Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?.
Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto?
Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
Anonymous
Thread
geita
katika
kibali
mfanyakazi
mwaka
uhamisho
wilaya
Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.
Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua...
Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi.
Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza.
Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.